Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Ally awape wenzie samareKama Kuna Ally humu aje atuambie ilikuaje
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2227067
Ally awape wenzie samareKama Kuna Ally humu aje atuambie ilikuaje
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2227067
When you Hear that name JesusPolee Mtumishi 😁🤣
Hio ni hatari , sasa hivi wakifuta nazipatia kwako, umetisha mkuu.😅😅😅 nilihisi kupaaa.. nahisi kuna delay ya ku refresh ( au kuzifuta ) catche baada ya mtu kufuta picha.. nyingi nimekuona naziona hata baada ya mtu kuwa amefuta picha
chocolate zitoke wapi hapaaa na wewee njoo home zipo kwenye kabati za kutoshaa 😅😅😅Zile chocolate huko hazipo?
😅😅😅😅 Mwalobaini wa tatizo hili la kufuta picha tunaupata hivi karibuni ..Hio ni hatari , sasa hivi wakifuta nazipatia kwako, umetisha mkuu.
Tatizo husemi nyumbani wapichocolate zitoke wapi hapaaa na wewee njoo home zipo kwenye kabati za kutoshaa 😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23] Magwaya hana namba tenaWacha wee!
Umepewa namba man u nini?
Mbona umeanza kufanana na Magwaya
Usiniweke basi!🥴Kesho mida kama hii tutakuwa pamojaaa 😅😅😅😅
Hata kama ni kiatu pekee - kile cha kutembelea kwenda kwenye nchi ya ahadi Ethiopia. Pulizi Mama Mchungaji [emoji1545][emoji1545]Polee Mtumishi [emoji16][emoji1787]
[emoji23][emoji23]kwakweli awaambie alifikaje hukuAlly awape wenzie samare
Vipi jana mrembo alitokea au?When you Hear that name Jesus
I just wanna see you BOW Down
When I Call on Jehovah
I just wanna see you Salute
When we Sing Hallelujah
I just wanna see you BOW Down
To the All time Champion
I just wanna see you Praise Him
Naam, inabidi tufanyie kazi hili, liekuwa tatizo sugu😅😅😅😅 Mwalobaini wa tatizo hili la kufuta picha tunaupata hivi karibuni ..
Acha nifanye ku share location 🇹🇿Tatizo husemi nyumbani wapi
Kwenda zako. Unanizingua Mtumishi 🤣🤣Hata kama ni kiatu pekee - kile cha kutembelea kwenda kwenye nchi ya ahadi Ethiopia. Pulizi Mama Mchungaji [emoji1545][emoji1545]
Siondoki hapa mpaka nione japo upindo tu wa gauni la jana lililokuwa linasifiwa sana. Nikiona hata upindo tu wa vazi basi yatosha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwenda zako. Unanizingua Mtumishi [emoji1787][emoji1787]
!!Vipi jana mrembo alitokea au?
Nitakutumia PM basi Mtumishi mwema; au?Siondoki hapa mpaka nione japo upindo tu wa gauni la jana lililokuwa linasifiwa sana. Nikiona hata upindo tu wa vazi basi yatosha [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahaha hapo mwishoni umejiandaa na chuchunge?atokeee wapi sema nilipata kengine hapa hapa mbezi mwisho kazuri kama Strawbella mcheshi kama Lenie ana akili kama Heaven Sent , rangi na uzuri wake kama mahondaw , kila nikimtazama naona lips kama sophy27 asikusimulie mtu huo mguu kama Kelsea ... janjaaa kama cocastic ila sio mmbsihi kama Saint Anne asie taka makuu kama Tinsley ukimuona kama Lizzy
🙈🙈🙈🙈🙈🙈🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Hahahaha hapo mwishoni umejiandaa na chuchunge?