Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Ndio nipo hapoKinyerezei tena huko mbalii bwanaaa 🫠🫠[emoji3526]
Ndio nipo hapoKinyerezei tena huko mbalii bwanaaa 🫠🫠[emoji3526]
[emoji23]Nyuma yangu wafanyaje tenaa [emoji28][emoji28]
Makubwaaa
Mchumba unajua kupamba[emoji28]Makubwaaa
Una mguu kama wa Pogba, body ya Le captain Magwaya
Njoo unisaidie kula chapati basi ☺️☺️[emoji23]
Nimebeba dishi la karanga nauza
TunasubiriNgoja na mimi nitupie leo [emoji848]
Leo nimekuja muda muafaka
Nakuona unavyozoom[emoji28]Leo nimekuja muda muafaka
Natafuta mtu wa IT anitolee emoj [emoji23][emoji23]
Aje chap atoe emoj[emoji4]Natafuta mtu wa IT anitolee emoj [emoji23][emoji23]
Mazoezi umeanza lini mchumba?
Huo ni mtori??Njoo unisaidie kula chapati basi [emoji3526][emoji3526]View attachment 2227028
Week ya pili sasa...nimepumzika pombe kidogo naweka mwili sawa[emoji4]Mazoezi umeanza lini mchumba?
acha basi maji ya maharage hayo 😅😅 shilingi 300 tu za kitanzaniHuo ni mtori??
[emoji23]acha basi maji ya maharage hayo [emoji28][emoji28] shilingi 300 tu za kitanzani
Unaimarisha ini na figo.Week ya pili sasa...nimepumzika pombe kidogo naweka mwili sawa[emoji4]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Hatari sana, nimekosa vingi, uje unipe ujuzi.😅😅😅 ni hatari mzee mambo hayakuwa ya sayari hiii.. sema sasa hivi sifati link mtu akiwa kafuta picha, kuna namba nafanya naziona.. kuna moja hapa ya madam shangazi mahondaw sijui kaiweka mchana nimekuja kuiona sasa hivi, ile kaombwa na mjeda aishushe chini kidogooo