Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,848
- 37,548
Mwalobaini wa tatizo hili la kufuta picha tunaupata hivi karibuni ..
na tutaacha kuselfika mbonaMwalobaini wa tatizo hili la kufuta picha tunaupata hivi karibuni ..
na tutaacha kuselfika mbonaHaitakaa nitokeee nikuweke 😁😁😁Usiniweke basi!🥴
Hellow wifi akeHelowwwww
Hapo sawa lakini usipotee mazima.Nitakutumia PM basi Mtumishi mwema; au?






😁😁😁 hamna kuwa na maktaba ya picha za wapendwa sio mbayaaana tutaacha kuselfika mbona
Sasa pasta au Basatokeee wapi sema nilipata kengine hapa hapa mbezi mwisho kazuri kama Strawbella mcheshi kama Lenie ana akili kama Heaven Sent , rangi na uzuri wake kama mahondaw , kila nikimtazama naona lips kama sophy27 asikusimulie mtu huo mguu kama Kelsea ... janjaaa kama cocastic ila sio mmbsihi kama Saint Anne asie taka makuu kama Tinsley ukimuona kama Lizzy
![]()
Achilia vitu binti AbiudiHelowwwww
Duh hata mi jmnPolee Mtumishi![]()

basi tu tufanye 😅😅Sasa pasta au Bas
WizoooKipilipiliView attachment 2227053
Aah wifi ake. Em selfika kidogo kwanzaDuh hata mi jmn![]()
Mkuu huu mstari ni wa PM kabisa, sema siwezi kuutumia tena wameshauona.atokeee wapi sema nilipata kengine hapa hapa mbezi mwisho kazuri kama Strawbella mcheshi kama Lenie ana akili kama Heaven Sent , rangi na uzuri wake kama mahondaw , kila nikimtazama naona lips kama sophy27 asikusimulie mtu huo mguu kama Kelsea ... janjaaa kama cocastic ila sio mmbsihi kama Saint Anne asie taka makuu kama Tinsley ukimuona kama Lizzy
🙈🙈🙈🙈🙈🙈🚶♂️🚶♂️🚶♂️
😅😅😅😅😅 PM zenyewe wanafunga sasa mkuu unafikiri unapitia wapi hapo... labda tuje na mbinu ingineMkuu huu mstari ni wa PM kabisa, sema siwezi kuutumia tena wameshauona.
Unaongea na mimi au nimesikia vibaya?Aah wifi ake. Em selfika kidogo kwanza
Eeh na wewe pia PilotUnaongea na mimi au nimesikia vibaya?
sijaona..utageuka kesho leo nimetingwa!!Nishageuka boss ledi
😆😆😆 Unakata tamaa mapema sana, tupambane mpaka dakika za mwisho.😅😅😅😅😅 PM zenyewe wanafunga sasa mkuu unafikiri unapitia wapi hapo... labda tuje na mbinu ingine
😄😄😄 Jana nimeitwa hadi mbezi mwisho alafu simu ikafungwaaa alafu unaona mtu ana like humu acha kabisa, inahitaji sana moyo😆😆😆 Unakata tamaa mapema sana, tupambane mpaka dakika za mwisho.
Unaona sasa madam shangazi mahondaw ungetoa card tukaja tukacheza na junior na kula kekiView attachment 2227100
Karibu tumalizie keki ya birthday mama mchungaji!!