Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Nani huyo hebu mtaje?😄😄😄 Jana nimeitwa hadi mbezi mwisho alafu simu ikafungwaaa alafu unaona mtu ana like humu acha kabisa, inahitaji sana moyo
Nani huyo hebu mtaje?😄😄😄 Jana nimeitwa hadi mbezi mwisho alafu simu ikafungwaaa alafu unaona mtu ana like humu acha kabisa, inahitaji sana moyo
Itakuwa tafrani hapa anajijua tuuu 😀😀😀 au nae sijui alikuwa hana pa kulala alafu cha ajabu tukajikuta member wawili kule kule tumeitwa naeNani huyo hebu mtaje?
Sante sana, we na mwanao mmezaliwa mwezi mmoja hongera sana.View attachment 2227100
Karibu tumalizie keki ya birthday wana selfika!!😘
Nina shida na barakoa kadhaa, unazo unitumie?Nitakubonda 😂
🤦♂️🤦♂️ Sijaona aseee .. Mkono wa Mungu ukawe juu yakeAmen mpendwa nilitoa mwaliko Juzi!
Mpwa uko vizuri!
Leo tutakabana hapa hapa
Asante madam hbday to him
Disposable au za kushonesha? Za cottonNina shida na barakoa kadhaa, unazo unitumie?
😁Msamehe mkuu, hajui atendalo, endeleza mapambano, hapa hatuwezi kukosa tuwe wavumilivu mkuu.Itakuwa tafrani hapa anajijua tuuu 😀😀😀 au nae sijui alikuwa hana pa kulala alafu cha ajabu tukajikuta member wawili kule kule tumeitwa nae
Wasukuma wangu wako poa sijui wew mkwe wanguKwema huko na Wasukuma wako?![]()

Mimi sijambo. Tena leo nilikuwa naongea na kijana wako. Amefurahi hatariWasukuma wangu wako poa sijui wew mkwe wangu![]()

Thank you my dear!! NamfikishiaAsante madam hbday to him
Una ubichwa mzuri 😄
Rabda nikinunua RR SVR itaniongezea credit ingawa sio leo wala kesho 😀😀😀😀 kwa ufupi safari bado ndefu sanaaa😁Msamehe mkuu, hajui atendalo, endeleza mapambano, hapa hatuwezi kukosa tuwe wavumilivu mkuu.
Kuna zile zina kama vitobo vimezibwa kwa pembeni na disposable.Disposable au za kushonesha? Za cotton