Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Jitahidi na wewe ukue big boy uwe unafaidi 😂😂😂Nitafaidi nitakuwa na advantage mingi, na kuona kile vitu special ambavyo big boy ana enjoy 😁😁😀 mie kuona tu roho yangu inakuwa saafi
Au hutamani?
Jitahidi na wewe ukue big boy uwe unafaidi 😂😂😂Nitafaidi nitakuwa na advantage mingi, na kuona kile vitu special ambavyo big boy ana enjoy 😁😁😀 mie kuona tu roho yangu inakuwa saafi
Nilishakuwa big boy miaka ya nyuma iliyopita , asa hivi hata sitamani nimeridhika tu kula kwa macho kama hivi.. naomba job description basi 😁😁😁Jitahidi na wewe ukue big boy uwe unafaidi 😂😂😂
Au hutamani?
Najua kuna moments ukikumbukia unatamani kurudi😛😛Nilishakuwa big boy miaka ya nyuma iliyopita , asa hivi hata sitamani nimeridhika tu kula kwa macho kama hivi.. naomba job description basi 😁😁😁
Mwenzio mi cha uroho Ila hiyo recipe yake imenishinda🤣🤣🤣That kafood nimeapia sitokula tena Mamy K View attachment 2226744
😅😅😅 Nikikumbuka ndio kabisaa sitaki kurudi naogopa najiogopaaa enzi zangu yaani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥.. ama kweli Mungu yupo mie huyu mie huyu wa kupoa hivi kuwa kadagaaa 😅😅😅Najua kuna moments ukikumbukia unatamani kurudi😛😛
Job description nitakupatia chemba, wacha niiandae kwa sasa
Aisee nimepotea njia gafla kwa jinsi ulivyo mzur
Hii guest naijua
Majukumu ni njema tunawajibika🇹🇿
Una macho ya kipare miguu ya kichaga hakika umeumbwa ukaumbika
Mungu anakupenda sana, anakuandaa kuwa kondoo wake mwema.😅😅😅 Nikikumbuka ndio kabisaa sitaki kurudi naogopa najiogopaaa enzi zangu yaani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥.. ama kweli Mungu yupo mie huyu mie huyu wa kupoa hivi kuwa kadagaaa 😅😅😅
😅😅😅 Sema au basi.. acha unitumie kwanza bundle.. na job descriptionMungu anakupenda sana, anakuandaa kuwa kondoo wake mwema.
Usimuangushe pls kwa kurudi alikokutoa😃😃
Enjoyyy🎵
Nalikuwa sijiwezi
Unyonge ulinielemea
Sikuwa na tumaini
La mbele kuendelea
Imani ilififia, sikuona kabisa
Kama moja ya nyenzo ilyotikisika
Nalikosa tabasamu usoni
Tegemeo sikuona maishani (maishani) Nikashindwa endelea mbele
Hali iliyofanya nikwame kule
Ulikonitoa ni mbali sana
Ni kweli umenikomboa nashukuru sana Ulikonitoa ni mbali sana
Ukanikomboa na zile laana
Mbali sana
Mbali sana
Mbali sana
Nashukuru bwana
Uliona haiko shwari
Mimi kupotea njia
Sijui ni namna gani uliwaza ukanihurumia
Na nilifanania jangwa mvua kutonyeshea
Nami mche mbichi maji yalinikaukia
Shida mateso sina tena yamewekwa nyuma Mimi wa Yesu mwingine sina wa kunirudisha nyuma
Wakati wa kuokolewa umekubalika
Kwa haki na ushupavu wake ukatimizika Ulikonitoa ni mbali sana
Ni kweli umenikomboa nashukuru bwana Ulikonitoa ni mbali sana
Ukanikomboa na zile laana
Mbali sana
Mbali sana
Mbali sana
Kwenye mateso Kule
Mbali sana
Nalionelewa
Ukanisaidia
Mbali sana
Eeeh mbali eeeh
Njoo uvifate😅😅😅 Sema au basi.. acha unitumie kwanza bundle.. na job description View attachment 2226958
😀😀😀 wapi nije nifate jioni hii jioni hiii bundle lina rushwa tuuuNjoo uvifate
Shida ilikuwa ntwk mjumbeUnatuachaje sasa mjumbe???[emoji15] Angalia namna pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Ni wewe ulikuja bila taarifa [emoji17]So jana umenikausihia mbezi mwisho [emoji2357][emoji2357][emoji2357] ama kweli watu wa dar ni [emoji85][emoji85][emoji85]
Umepotelea wapi mkuu?Aisee nimepotea njia gafla kwa jinsi ulivyo mzur
[emoji23]Hii guest naijua
Masingle tuna kazi ya ziada[emoji1787]Bye lonely pipo Lenie [emoji1787][emoji1787]View attachment 2226741
Ndio vinini hivi mdogo wetu??That kafood nimeapia sitokula tena Mamy K View attachment 2226744