Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Njoo basi kwa hakimu au hapa msikitini hapa napata tangawizi alafu twende kwangu ukapaone 😅😅😅🫥 hata siku hatuonekani basi unajua napatikana wapiNi wewe ulikuja bila taarifa [emoji17]
Njoo basi kwa hakimu au hapa msikitini hapa napata tangawizi alafu twende kwangu ukapaone 😅😅😅🫥 hata siku hatuonekani basi unajua napatikana wapiNi wewe ulikuja bila taarifa [emoji17]
Inaitwa Injera.. ni ethiopian foodNdio vinini hivi mdogo wetu??
Na ikichacha si ndio tunapika injeraMwenzio mi cha uroho Ila hiyo recipe yake imenishinda🤣🤣🤣
We ngano uiache ilale si inachacha🤣
Kwako ni mtaa msikitini??Njoo basi kwa hakimu au hapa msikitini hapa napata tangawizi alafu twende kwangu ukapaone [emoji28][emoji28][emoji28]🫥 hata siku hatuonekani basi unajua napatikana wapi
Duh!Inaitwa Injera.. ni ethiopian food
Huo mchapati wa ngano iliyochechushwa, wanakusevia na kuku, nyama ya kondoo, ya ng’ombe na sauce .
Very appealing ikiwa kwa plate [emoji1787] ila sasa hapo mdomoni ni noma
Nimepotea najikuta nipo pm kwakoUmepotelea wapi mkuu?
Pm kuna mbwa wakaliNimepotea najikuta nipo pm kwako
Nitakubonda 😂Nataka uumwe na leo🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa jinsi ww mwenyewe ulivyo mkali pisi kali any Ninajua jinsi ya kuwadhibitiPm kuna mbwa wakali
Eeh msikitini tu hapa 😁Kwako ni mtaa msikitini??
Nisubiri nipande bajaji
Mbona husemi siku zote?Eeh msikitini tu hapa [emoji16]
Nina hofu watakurarua kabla hujaingia.Kwa jinsi ww mwenyewe ulivyo mkali pisi kali any Ninajua jinsi ya kuwadhibiti
kafuru ndio wapi tenaaa 🫣🫣🫣Mbona husemi siku zote?
Njoo hapa kifuru.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kafuru ndio wapi tenaaa 🫣🫣🫣
Nipo nyuma yako hapaEbuu njoo unisalimie basi Saint Anne View attachment 2227014
[emoji23][emoji23][emoji23]With my baby gal [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 2227013
Kinyerezei tena huko mbalii bwanaaa 🫠🫠☺️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wewe siyo mwenyeji kabisa.
Njoo hapa kinyerezi Park.
Nyuma yangu wafanyaje tenaa 😅😅Nipo nyuma yako hapa