Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,640
- 50,906
Injili popote haichagui ili nafsi zenu chafu ziokolewe,Mnaleta injili selfika
Injili popote haichagui ili nafsi zenu chafu ziokolewe,Mnaleta injili selfika
umeamkajeusiwe kama mtu chake Anne sababisha pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
hahahahaKwamba hudaiwi, huna chama na hutembei na mke wa mtu. mjumbe weeeeee ninoumarrr!!
Niko gudo sana mjeda!umeamkaje
Mbona godoro halina shuka😃
We yako iko wapi??Ungetoa ivo vimaua ua kama walivyokuwa wanafanya jana usiku ingependeza sana mkuu.
Shuka si ndio hiyo nimejifunikaaa 😅😅😅 au kuna shuka gani tena jamani zaidi ya kujifunika .. watoto wa kishua wanahisi store hii kumbe gheto languMbona godoro halina shuka😃
Big Boy wanataka ku prove kitu, usiwe mkali 😁😁We yako iko wapi??
Kumbe tupo sawa kabisaa, piemu kufata watu utajifutia ambayo hukutaka kuyapata.. utakutana na vitu vizito
Ikifika tuambizane....iko njiani mkuu.
🤣🤣🤣 humo unapata hewa ya kutosha kweli jamaniShuka si ndio hiyo nimejifunikaaa 😅😅😅 au kuna shuka gani tena jamani zaidi ya kujifunika .. watoto wa kishua wanahisi store hii kumbe gheto langu