Haya utupe muda hapa kwako tujichunguzeItakua kuna viishara mlionyesha, jichunguzeni vzuri
Bageshi how are you.Uzee ndugu yangu uzee...
Tumebakia tu kuwaangalia nyie vijana na purukushani zenu. Ni wakati wenu bana![]()
Wagonjwa wanaumwa hadi weekend mkuu huku wetu hawaugui weekendUzee ndugu yangu uzee...
Tumebakia tu kuwaangalia nyie vijana na purukushani zenu. Ni wakati wenu bana![]()
Unatuachaje sasa mjumbe???😳 Angalia namna pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Muwe na usiku nwemaaaa
Sawa me sina neno
wajumbe tumewasili tayarishangazi mchana ulituahidi wajumbe muda ndio huu sasa!!
Asante sana bageshi.Bageshi how are you.
Ulimisika
Hilo neno 'mizagamuo' hua linanichekesha sana nikiliskia😅itakuwa yupo kwenye mizagamuo ya kudumu 😅😅😅
Shangazi mi mwenyewe sina jipya shangazi pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! Halafu mjumbe mkuu cocastic sijui yuko wapi hata!! Uwepo wake hapa ni muhimu sana!
kapo huko kanazagamuana kama hakuna kesho 😬😬😬.. naona story spidernyoka zimewanogea basi mlale salama.. mie niwaache 😅😅Hilo neno 'mizagamuo' hua linanichekesha sana nikiliskia😅
Nina wageni hapa, nimefurahi kuwaona.Asante sana bageshi.
Miye mbona nipo tu...
Nakuona una hekaheka za ugeni...
Na zawadi kemkem wageni wamekuja nazo...
Kila la heri bageshi!
Me zangu nlkubebea weweNina wageni hapa, nimefurahi kuwaona.
Zawadi hizi walikua wanapelekea pisi yao bahati mbaya pisi kawatelekeza stand so imebidi me nijisevie tu hamna namna
🤣🤣🤣 YOLO so wacha ale rahakapo huko kanazagamuana kama hakuna kesho 😬😬😬.. naona story spidernyoka zimewanogea basi mlale salama.. mie niwaache 😅😅
😅😅😅
Tunaomba Selfii zenyu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!wajumbe tumewasili tayari