Wakianza kupiga yale madude yao wanaita code😅😅😅 mkuu bora we mwenzangu una akili za kukaa kule intelligence mie sina kwaiyo ni mkosa vyote tu hapa 🥲🥲
Hapo ujanja sina kabisaaaa
Wakianza kupiga yale madude yao wanaita code😅😅😅 mkuu bora we mwenzangu una akili za kukaa kule intelligence mie sina kwaiyo ni mkosa vyote tu hapa 🥲🥲
Ndiyo mkuuSema kweli?
Ewaaaaa.....💕💕
Nyie mabinti msiwafanyie hivi vijana wangu. Kumbe wanawachekea tu humu, PM wanawachunia?![]()


Dimples


😅😅😅😅 Labda twende Tech tuwe kama Chief-Mkwawa wanaweza kutuona tuna maana kidogoWakianza kupiga yale madude yao wanaita code
Hapo ujanja sina kabisaaaa
Mara nyingi hua napita pita saa 5 usiku nakuta kila kitu kimefutwa🤣🤣 dahTafuta vizuri huko juu utazikuta.
Btw karibu sana, Mimi binafsi ndiyo nimekuona humu Leo, kumbe mwenyeji eeh?
kuona tutaonaa ila kula hatuli n'gooo 😅😅
Hongera kua kazuriNawazoom
Hahaha View attachment 2225883
Nifunge nimuogope nani???Ewaaaaa.....
Usfungue na pm sasa ili tushudie hizo dimples vzr

Macho kodoNawazoom
Hahaha View attachment 2225883
"There is no better way to thank God for your sight than by giving a helping hand to someone in the dark".Serious wako wengi wenye uhitaji japo wengine wanachukulia utani lkn naamini kuna wachache wanaopata za zinasaidia kuwakwamua kwenye changamoto flani flani
Ndivyo navyoamini maana namimi kuna wakati nilipitia changamoto mbali mbali kuna walionisaidia kuzikwamua bila hata wao kujua
Ndivyo ninavyoamini
HahaMacho kodo
Ufungue na pm