Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
😅😅😅😅 hapa na na mfuatano wa mikopo, M-Pawa nadaiwa, Songesha nadaiwa, Nipige Tough nasaiwa, NMB chap chap nadaiwaaa ... unafikiri kuna anae elewa hapo , nipo chini ya viwango 😅😅😅Umetisha chief
Wewe ni balaaa
Na hii pia inaweza ikawa ni gear ya ku impress
Maana kama unaweza kuwakopa Mpesa kiasi hicho wanaamini unaweza kuwalipa kwa hiyo huu ni mtaji kaza buti pm zifunguke🤣🤣🤣🤣

