Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uwe kama Mjep tu
Shusha vocha shusha vocha mkuu
Kuna wenye uhitaji humu hata usipofunguliwa pm utapata malipo yako kwa Mungu
Mkuu nimekuonesha hali yangu nina deni nipige tough maana yake mie mwenye vocha zina nihenyesha usita take niongee mengi kwamba na mie ni mshabiki wako .. ukirushaga nalala nazo mbele zingine hasa za voda 🙈🙈🙈🙈
 
Bora wewe unapata thawabu zako
Serious wako wengi wenye uhitaji japo wengine wanachukulia utani lkn naamini kuna wachache wanaopata za zinasaidia kuwakwamua kwenye changamoto flani flani
Ndivyo navyoamini maana namimi kuna wakati nilipitia changamoto mbali mbali kuna walionisaidia kuzikwamua bila hata wao kujua
Ndivyo ninavyoamini
 
Si ndiyo maana nimesema asiwe na maneno mengi. Anagonga tu "indeed, exactly, impressive" etc 🤣🤣🤣🤣
Weeeeeeeehhh
🤣😂😂😂🤣
juzi na cocastic kujifanya kukomenti mfululizo tu kwenye ule uzi wa yoga sasa komenti za coca 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,,, 😂🤣🤣 jomonee tyu...tulitolewaje baruu eti nyie Acheni kucheka cheka hapa rudini MMU!!🙆🙆🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom