Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,478
- 203,124
😂😂😂😂😂
I lavyuu foreva
😂😂😂😂😂
HahahaVijana mmesikia???
Big Boys hao .. wapo wanapita pita tuuu sasa comedian hapa kutwaaaa napayukaaaa![]()

Si nilikuwa naprove malalamiko ya vijana?🤣🤣Hahaha sasa unakujaje hivo bila taarifa
Naona Leo mambo yameanza mapemaa!!
Weekend leo au kwenu sio weekend mkemiaNaona Leo mambo yameanza mapemaa!!
Mjomba umeongea kwa majonzi
Pole sana
Huku Hatunaga weekend 🤣🤣😆!!
Sisi weekend leo tunakula shumbwelaHuku Hatunaga weekend 🤣🤣😆!!
Shumbwela ndio kitu gani ???Sisi weekend leo tunakula shumbwela
Depal ni Oxygen au Ugali?? 🤣🤣
Shi iz my oxijenDepal ni Oxygen au Ugali?? 🤣🤣
Sawasawa!! Enjoy your weekend ✌️✌️
Mzima na wewe unajionaje na hali?Niambie
Mzima?
Ni ngumu sometimes mkuu. Muwage mnatutag🙈🏃🏃Uwe unakaa hapahapa sasa ili ufaudu