Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Sio kwakuringa huko 😃😀😀😀 PM zenyewe zipo wazi basi sasaaa, yani wame select wa kuwasiliana nao, kila ukituma unakutana na huwezi tuma message kwa huyu ... unageuza kimya kimyaaa na ikifanikiwa kwenda utajibiwa baada ya miezi ila hapa unakuta ana ku like na ana quote ila PM hajibu 😅😅😅
Basi fanyeni kuwa impress humu ili wao ndo waanze kuwatumia maPM.





