Tumejitahidi kuwa impress na vocha lkn hola tunaambulia za uso🤣🤣🤣Sio kwakuringa huko 😃
Basi fanyeni kuwa impress humu ili wao ndo waanze kuwatumia maPM.
Ni maneno ya Post M-alone
Tumejitahidi kuwa impress na vocha lkn hola tunaambulia za uso🤣🤣🤣Sio kwakuringa huko 😃
Basi fanyeni kuwa impress humu ili wao ndo waanze kuwatumia maPM.
Inauma sana, mtu Pm imeenda hakibu, ila hapa ana ku like ana ku quote 😅😅 hadi unajuliza PM za Jf zinahitaji bundle la voda nini kumbe mtu kasoma kaiweka kwa binNyie mabinti msiwafanyie hivi vijana wangu. Kumbe wanawachekea tu humu, PM wanawachunia?![]()
Hapo juu kuna jamaa joined 2013 tazama messages na hilo pozi alivyovaa glasses.





Me yangu iko wazi mkuu, karibuNa wewe fungua pm mkuu
Mbona unatubania...
Aisee. Hawajui nyie ndio waoaji wenyewe?Inauma sana, mtu Pm imeenda hakibu, ila hapa ana ku like ana ku quotehadi unajuliza PM za Jf zinahitaji bundle la voda nini kumbe mtu kasoma kaiweka kwa bin
Toa vocha mzee baba Lizzy kasema jaribu ku impress ukiona vocha jazifanyi kazi jaribu njia nyingine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inauma sana, mtu Pm imeenda hakibu, ila hapa ana ku like ana ku quote 😅😅 hadi unajuliza PM za Jf zinahitaji bundle la voda nini kumbe mtu kasoma kaiweka kwa bin
😅😅😅 haaaaa ... kuna big boys mapaaa yameweka ukuta kama wa Jericho na hatuna vyanzo vya kuuzunguka mala sabaaaHawajui nyie ndio waoaji wenyewe?
Sisi waoji wenyewe sasa........Aisee. Hawajui nyie ndio waoaji wenyewe?
Kuna wa2 wana mic kulogwaShauri yako... Utapishana na gari ya mshahara ujueView attachment 1217177
Big boys sio waoaji; wasije baadaye wakasema wamechelewa oooh😅😅😅 haaaaa ... kuna big boys mapaaa yameweka ukuta kama wa Jericho na hatuna vyanzo vya kuuzunguka mala sabaaa
Sasa sina hakika kama niko nae sawa 😝Hmmm...embu nifafanulie na mimi 🙄🙄
Mna nini tena?Sisi waoji wenyewe sasa........
Sante sana nakupata Mjep wizara ya mawasiliano, vocha na bando, nimekuita kikao cha dharura tujadili, sasa hivi tutoe vocha moja tena ya 500, serikali haina pesa, wewe tunakuamini na tumekupa hio nafasi tukijua hutotuangusha na kwa kweli unapiga kazi kweri kweri.Nipo mkuu leta maneno
Nimekubali hiki kitengo nimepewa
Ila hizo vocha sasa hata njemba zinapata maana zinatolewa hapa sandakarawe
Wanaelewa sasa , 🥲🥲🥲🥲Big boys sio waoaji; wasije baadaye wakasema wamechelewa oooh
Mchele mbichi??Sijaongeza...mchele mbichi ndo unaniponza.
....na mazoezi nimeacha.![]()
😅😅😅 Poa mkuu badae na mie acha nipumzishe kichwaa maana hapa ni pazitoo sana, Mjep anaweza fanya jambo likaleta mapinduzi_King baadae asee
Sante sana nakupata Mjep wizara ya mawasiliano, vocha na bando, nimekuita kikao cha dharura tujadili, sasa hivi tutoe vocha moja tena ya 500, serikali haina pesa, wewe tunakuamini na tumekupa hio nafasi tukijua hutotuangusha na kwa kweli unapiga kazi kweri kweri.
sasa hilo ni pendekezo, nasubiri mawazo toka kwa wenzangu, ahsante sana, kwako _King
![]()
Umetisha chief😅😅😅😅 yaaani nipige tough nina deni, hizo vocha naanzia wapi kuziweka mkuu... vigezo zero bora wewe unejitutumua kidogoView attachment 2225829