Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
🤗🤗🤗 mvua inafitina nimeanza tu kutoka hiyo 😬😬😬😬We kwani unahitaji kukaribishwa????🙄
🤗🤗🤗 mvua inafitina nimeanza tu kutoka hiyo 😬😬😬😬We kwani unahitaji kukaribishwa????🙄
Jiraniii 🔥🔥🔥🔥
Sjawahi ona picha yako. Leo nimetoka church na baraka nimeifikia hapa.Abeee muumini![]()

Jirani unasahau kweli kwamba Leo ni jumapili?Jiraniii 🔥🔥🔥🔥
Kwani nawe unavaa kiatu 42? 😂😂😂Ili uone namba 11 yangu?
Na juzi nilikumind kimyakimya kutusema wenye miguu ya mafundi😏😏
Jamani; tubarikiwe soteSjawahi ona picha yako. Leo nimetoka church na baraka nimeifikia hapa.
Asante sanaa![]()
Huoni limlonjo hilo?Kwani nawe unavaa kiatu 42? 😂😂😂
Simama me nione kamshono classic 😍 na ile darizi iliyopita kifuani
😀😀😀😀Jirani unasahau kweli kwamba Leo ni jumapili?
Umegongana au una balaa gani?
Nimeua panya road 😜😜😜😜Umegongana au una balaa gani?
Joined July 2014Sorry hapa ni Kunduchi dar?
Kiatu kinaweza kuwa kirefu kumbe umevaa 39..Huoni limlonjo hilo?
Ngoja nimalize mipuyango, nisijeonekana nikaphotolewa kimyakimya
Kama nyama pori hiibata tenaaa , mie napenda mbuzi na nyama pori sana .. naishi popote tu



Rubani umeanza.Joined July 2014
Messages 84
Kwema mkuu? we ni mdau wa selfika tupia basi ka selfie.
mbona hujaiweka nyma poli enyewe toa ka mualiko basi 😀😀😀😀
Kwetu huku,kwenye ziwa lenye utataWapi huko? Viwanja Bado vipo? nikafanye vibarua nipate pesa ( kama ntafanikiwa) nipate japo Kiwanja Cha 40x40? Napenda sana utulivu
View attachment 2225306

Bora usalimiwe japo utabaki kutamani ujue ID ya mtoa salama. Tabu ni pale utakapophotolewa bila kujijua afu kipicha kileee na gusuraKiatu kinaweza kuwa kirefu kumbe umevaa 39..
Maliza kabisa ndiyo upost 🤣 za kupost na bado una mizunguko waweza shangaa unashikwa bega.. HS just Hi 😂😂 hapo utashangaa bila mwisho
ShendwaaaaNimeua panya road 😜😜😜😜