Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Joined July 2014
Messages 84

Kwema mkuu? we ni mdau wa selfika tupia basi ka selfie.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aki utakuja upigwe 🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣 at mtu tangu 2009 ana msg 50 hahahahhahahahahahha! Aki nacheka had nakuwa kichaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 hakika ruban unatsha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
mbona hujaiweka nyma poli enyewe toa ka mualiko basi
Mbuzi pori
IMG_20220515_114345.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aki utakuja upigwe 🤣🤣🤣🤣

🤣🤣🤣 at mtu tangu 2009 ana msg 50 hahahahhahahahahahha! Aki nacheka had nakuwa kichaaaa🤣🤣🤣🤣🤣 hakika ruban unatsha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ni 2022 una more than 800 messages na ni expert, we hapo mbona hujaona kuna mtu 2006 ana mesages 100 na bado ni member.
 
Mkuu nipo makini sana nikifuatilia kila kitu kwa umakini, kwanza kabisa nina tools mbali mbali IT wamenipatia ikiwemo plugin ya notification message ikiingia au picha ikitumwa, pili nina plugin ya ku auto refresh kila sekunde, nipo doria mkuu ova ova.
😀😀😀 naomba plugin ya auto download ya picha za seflie tu hapa.. picha yoyote itayoweka ndani ya second iwe imeshushwa
 
Back
Top Bottom