mapema
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 962
- 3,010
Oky pana ufanano kwa kiasi chakeNah Mbweni Zanzibar
Oky pana ufanano kwa kiasi chakeNah Mbweni Zanzibar
Hapa ni Wapi mkuuThat kamorningView attachment 2225128
Nipe card tuje kuishi na mie napenda kuishi huko huko 🥱🥱🥱Utasikia mtu anakuuliza,unaishi huku hauogopi??
Kwa sie tusiopenda kelele kutamu balaa[emoji3059]View attachment 2225050View attachment 2225058
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi umekuwa mchoyo sijui nani kakufundisha tutagayana tu 😬😬😬
[emoji23][emoji23][emoji23]kwetu hakuna bata, kuna ndege tu,utapaweza?Nipe card tuje kuishi na mie napenda kuishi huko huko 🥱🥱🥱
mayonnaise huwa tamu bwanaaa [emoji28][emoji28][emoji28] hasa ukute chips zimekaukaaa vizurii unaweza maliza tu plate plate
Daaaah, [emoji23][emoji23]Halafu kuwe na kuku na salad ambayo ina kabeji[emoji39][emoji39]
Ndio unakua mwanaume wa dar pyua [emoji23][emoji23]
Strawbella mzima lakini shangazi.. tabia za wanaume za dar zikoje kwanzi zaidi ya kuogopa panya road 🥲😅😅Halafu kuwe na kuku na salad ambayo ina kabeji[emoji39][emoji39]
Ndio unakua mwanaume wa dar pyua [emoji23][emoji23]
bata tenaaa , mie napenda mbuzi na nyama pori sana .. naishi popote tu[emoji23][emoji23][emoji23]kwetu hakuna bata, kuna ndege tu,utapaweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangazi yangu mzunguHalafu kuwe na kuku na salad ambayo ina kabeji[emoji39][emoji39]
Ndio unakua mwanaume wa dar pyua [emoji23][emoji23]
Utasikia mtu anakuuliza,unaishi huku hauogopi??
Kwa sie tusiopenda kelele kutamu balaa[emoji3059]View attachment 2225050View attachment 2225058
Sent using Jamii Forums mobile app
We kwani unahitaji kukaribishwa????🙄Siku hizi umekuwa mchoyo sijui nani kakufundisha tutagayana tu 😬😬😬
Mkonooooo J
Eeeh Ile ni mikono jamani
Mama mchungaji [emoji1752][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
Abeee muumini😁😁Mama mchungaji [emoji1752][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
Nangoja usimame dada 🔥 🔥
Ili uone namba 11 yangu?Nangoja usimame dada 🔥 🔥