Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
hahahahahahahahahaha
hahahahahahahahahaha
Na nyie mnatinyanyasa sanaaaa 🥲🥲🥲 kama wewe asubuhi umenichinjia kabisa baharini bado nina sikia ushunguuu![]()


usifanye hivyo bwana.Ngoja narudi mkuu, mambo ya github yaelekea na wewe utakuwa mbaya sana kwenye IT. Narudi mkuu.hiyo fanya kunitumia au kushare kule GitHub nifanye ku install chap chap ili twende kidogo sawa
Karibu,tukupe na shamba ulime,Nahamia kabisaa tu huko mambo yanguu hayaaa![]()
ushunguuuu sanaaa basi tu hadi roho inaumaaa 😭😭😭usifanye hivyo bwana.
Asante sana mama mchungaji barikiwa mnoo! Natamani kujua hayo maua yamewekwaje kwenye hio nguo!!
Kwenye Profile za eLearnsecurity nipo kule share tu huko ndio patamu labda watatuelewaNgoja narudi mkuu, mambo ya github yaelekea na wewe utakuwa mbaya sana kwenye IT. Narudi mkuu.
Aisee, ni ndoa hii? Una miguu mizuri...(mimi naendeleza kusifia
)Unapata,yaani soon mbamba bay,itazipuku wilaya zote za Ruvuma.Huko ka eneo ka beach hata kama porini kabisa ndani ndani sipati?
View attachment 2225379
Napenda utulivu na maji
Umependeza dear sogeza kwa juu nione hio fashiooonnnn!!
Safi sana Kelsea, j2 zinakuwaga hot sana humu.
Haya aliyashonea kwa mkonoAsante sana mama mchungaji barikiwa mnoo! Natamani kujua hayo maua yamewekwaje kwenye hio nguo!!
Mkuu, naamini umeshatoka church, sasa ukitupia swagga za church huoni uzi utanoga sana(mimi nitasifia tu, kiddingUmependeza dear sogeza kwa juu nione hio fashiooonnnn!!
)Hahahahahaha ... wasiende tu kututoa kafara huko 🤣🤣🤣😂😂😂!!Nyiee mnatutisha sasa![]()
Ndoa tena brod darling, kisa white outfit? Ni ibada tuAisee, ni ndoa hii? Una miguu mizuri...(mimi naendeleza kusifia)



ahaaa mama pasta kwa fashiooonn🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!! Simama nionepo juu imekaaje pullliiiizzzzz!!😉😜Haya aliyashonea kwa mkono
Nikidhani unaolewa sis darling, umependeza sana.Ndoa tena brod darling, kisa white outfit? Ni ibada tu
Huo mguu ni ahsante angle picha ilipochukuliwa, bila hivyo![]()