Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Ila ujue wewe ndio ulianzisha. Sio vizuri.Karibu sana...
Sakata letu si ulikimbia mazima?ila siku zako zinahesabika
![]()
Sijaona, hata kuni tag mrembo 🥲🥲Nilikuwekea pic..uliona au ndio ulilala??
Nilikuqoute et...basi tena hadi muda mwingne.Sijaona, hata kuni tag mrembo 🥲🥲
hahahahaha😅😅 unamkunywa mzima mzima na zile lips zake au acha tu
Hapa huku ni qoute, ila mnaninyapaa sana haya bwana acha nipambane na hali yangu 🥲🥲🥲Nilikuqoute et...basi tena hadi muda mwingne.
napewa sifa zako hp,asee binti uko vzr,ingawa cjaona selfie yakoNilikuqoute et...basi tena hadi muda mwingne.
Rafiki nilikuquote sina sababu ya kukudanganya ujue. Ukiangalia vizuri utaona sema ndio pic haipo.Hapa huku ni qoute, ila mnaninyapaa sana haya bwana acha nipambane na hali yangu 🥲🥲🥲
Ulishaiona mbona.napewa sifa zako hp,asee binti uko vzr,ingawa cjaona selfie yako
Sawa 😭😭Rafiki nilikuquote sina sababu ya kukudanganya ujue. Ukiangalia vizuri utaona sema ndio pic haipo.
sijafanikiwa kuiona.mnafuta sanaUlishaiona mbona.
Sorry hapa ni Kunduchi dar?That kamorningView attachment 2225128
Pamefanana sana na kwetu lakini natumaini ni mahali pengine.Utasikia mtu anakuuliza,unaishi huku hauogopi??
Kwa sie tusiopenda kelele kutamu balaaView attachment 2225050View attachment 2225058
Sent using Jamii Forums mobile app
Nah Mbweni ZanzibarSorry hapa ni Kunduchi dar?