Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ibada njema Mama Mchungaji [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji120][emoji120]View attachment 2224975
Ibada njema Mama Mchungaji [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji120][emoji120]View attachment 2224975
AmeeeeenHallelujah
So leo tutakiona? Venye kinakaa mwilini?
Ahsante Mtumishi [emoji120][emoji120]Ibada njema Mama Mchungaji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2224978
Notifications turned onAmeeeeen
Eeh baadaye kitakuwepo live
SawaaaaaNotifications turned on
Uniite kabla ya kupost [emoji847]
mayonnaise huwa tamu bwanaaa 😅😅😅 hasa ukute chips zimekaukaaa vizurii unaweza maliza tu plate plateNilikwambia mpaka Yesu arudi ndo bifu letu litaisha. Labda uniombe msamaha huku ukiwa umepiga magoti kama mabinti wa Kisukuma na Wigelekelo akiwa shahidi...
Halafu naomba nikiri aisee. Jana nilinunua Mayoneizi! [emoji15][emoji15][emoji15]. Sasa wakati naweka kwenye gari ndo nikakukumbuka wewe na Wige. Nikaishia tu kujisemea sijui nitaambia nini watu ila ndo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2224977
Amen Baba Mchungaji [emoji1545]Miaka mingi, Baraka nyingi, Mungu atukuzwe katika wewe [emoji91][emoji91]
Mimi na Wigelekelo tulikuwa tunazishambulia eti ni chakula cha wanaume wa Dar. Kelsea ndo akawa anazitetea....mayonnaise huwa tamu bwanaaa [emoji28][emoji28][emoji28] hasa ukute chips zimekaukaaa vizurii unaweza maliza tu plate plate
😅😅😅 Wanaume wa dar wana mitihani mingi ila hili la mayonnaise mlikuwa mna waonea na ule tamu wake kweliMimi na Wigelekelo tulikuwa tunazishambulia eti ni chakula cha wanaume wa Dar. Kelsea ndo akawa anazitetea....
Ila zinanoga hata kwenye hambaga bana [emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakuja kula rafiki umebeba vitu vinono.Nilikwambia mpaka Yesu arudi ndo bifu letu litaisha. Labda uniombe msamaha huku ukiwa umepiga magoti kama mabinti wa Kisukuma na Wigelekelo akiwa shahidi...
Halafu naomba nikiri aisee. Jana nilinunua Mayoneizi! [emoji15][emoji15][emoji15]. Sasa wakati naweka kwenye gari ndo nikakukumbuka wewe na Wige. Nikaishia tu kujisemea sijui nitaambia nini watu ila ndo hivyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2224977
Sasa je, hizo anakula yoyote mnawaonea tu wanaume wa Dar.Mimi na Wigelekelo tulikuwa tunazishambulia eti ni chakula cha wanaume wa Dar. Kelsea ndo akawa anazitetea....
Ila zinanoga hata kwenye hambaga bana [emoji16][emoji16]
eehkana mdomo mzuri kakikuchapa kiss lazima upate mfadhaiko kwa second kadhaaa 😅😅
😅😅😅 ndio kama hivyo lazima upate mfadhaiko kama kugandaa flani hivi
basi .@kelsea ni binti mrembo sana😅😅😅 ndio kama hivyo lazima upate mfadhaiko kama kugandaa flani hivi
[emoji1787][emoji1787]Tunasifia kumbe kuna wajumbe wanamalizia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyway sisi wazee kazi yetu ni kusifia, manake hatuna tuwezacho saivi [emoji1787]
Happy Sunday watu wa Mungu!!
😅😅 unamkunywa mzima mzima na zile lips zake au acha tubasi .@kelsea ni binti mrembo sana
Karibu sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakuja kula rafiki umebeba vitu vinono.
Sakata letu tutamalizana wenyewe Wige mkorofi atanisumbua.
Nilikuwekea pic..uliona au ndio ulilala??[emoji28][emoji28] unamkunywa mzima mzima na zile lips zake au acha tu