SYB laivu bila chenga leo.
Miaka 76 and counting wapendwa...
Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Dadeki SYB nina bahati ya mtende. Yaani nimejiripua laivu bila emoji wala nini kumbe hakuna hata mtu mmoja aliyeko online?SYB laivu bila chenga leo.
Miaka 76 and counting wapendwa...
Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tujaribu tena kesho mpwa. Mida kama hii hii [emoji51][emoji51][emoji51][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Sijaona mjomba[emoji30]
Tujaribu tena kesho mpwa. Mida kama hii hii [emoji51][emoji51][emoji51][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Morning bestNilitoka online dia, kwa hiyo ndio nilikosa mambo mazuri[emoji53]
[emoji23] wakina nan wamelala? Mbona wewe upo machoMorning best
Selfika tafadhali watu bado wamelala
🤣🤣🤣🤣[emoji23] wakina nan wamelala? Mbona wewe upo macho
Jana umeselfika fullbila emoj rudia hata hiyo tu inatoshaHaha hadi badae, sina hata pic humu.
Watu weweeee......💕💕💕💕💕Unaijua hii mbonaView attachment 2224954
Haya naomba Vocha[emoji1787]Watu weweeee......[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]
Ahsante mrembo @Kelsea[emoji8][emoji8]
Nidai vocha yako
Mida mida hadi maduka yafunguliwe usibanduke hapaHaya naomba Vocha[emoji1787]
HalotelMida mida hadi maduka yafunguliwe usibanduke hapa
Sema na mtandao kabisa nitakushtua nikitaka kuweka ila uwe na timing tuu
UsiwazeHalotel
Kwa hiyo huyo apo ndio wewe [emoji1787][emoji1787] una makusudi sana. Nimekuja mbio eti nakutana na hicho kitu hapo, kesi yangu na wewe haitakaa ikaisha wee haya.Dadeki SYB nina bahati ya mtende. Yaani nimejiripua laivu bila emoji wala nini kumbe hakuna hata mtu mmoja aliyeko online?
Na kesho najiripua tena mida kama hii hii [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2224778