Ooh mnafaidi haswa
Huku dar bora uende sokoni tu otherwise shida tupu ... Tunanunua kiubishi tu
nilizoea maisha ya Morogoro hapo msimu wa mavuno vitu bei cheee ndizi twike mkungu unaweza pata hata 500 ,nyanya sado unapata buku , parachichi 100 ... Nimiemiss maisha haya mno .
Kule vilumbu wanaita Mfuma halafu mwanzo ndio nilikua naweza kula ndizi za fia tu ndio zinaelekeana na za mikoa mingine walau zile laini zilinishinda Ila badae nikazizoea!
Ooh mnafaidi haswa
Huku dar bora uende sokoni tu otherwise shida tupu ... Tunanunua kiubishi tu
nilizoea maisha ya Morogoro hapo msimu wa mavuno vitu bei cheee ndizi twike mkungu unaweza pata hata 500 ,nyanya sado unapata buku , parachichi 100 ... Nimiemiss maisha haya mno .
Mungu akutunze kitoto cha Mungu , Mungu akuhudumie kitoto cha Mungu , Mungu akupe cheko na furaha kitoto chake adui zako waone ukifurahi na kusonga mbele , siku zote huzuni kwako na ikawe furahaaaa