Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,859
Moyo unaona aibu Kusema hadharani..Maskini pole
Umeshaipeleleza?
Moyo unahitaji Kusema ukweli wake chemba


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Moyo unaona aibu Kusema hadharani..Maskini pole
Umeshaipeleleza?


Low cut km Yule binti wa ifm wa chupa ya milindayaah! yes napenda sana low cut ni kiona low cut naelewa sanaa



Ewaaa ndio mambo nipendayo hayo aseee.. kwa mala moja moja anazitia moto hivi aaah acha kabisa
Yaani mnazidi kunichanganya, nishachanganikiwa kabisa.
HakikaHela km hela..
hela ambayo hata ukiniambia baby nitumie pesa ya kujiunga kifurushi nikituma laki nione km nimetuma buku ya kujiunga GB 1
Ukiomba milioni ya Brazilian hair nakupa bila kuhesabu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app


Huo mguu unaongea mengi sana we acha tu.Lizzy ni hatari ana vitu flani hivi vipo sex yani unavutika sijui urimbo kama ndege akitazama na kutua kanasaaa 🔥🔥🔥 humu unaweza patwa na mchemcheto
na hata hiyo rangi inaonesha kuna nyuzi joto za kutoshaHuo mguu unaongea mengi sana we acha tu.
Naunga mkono hoja.na hata hiyo rangi inaonesha kuna nyuzi joto za kutosha
Hao wanao baki inakuwaje sasa 😅😅😅
Safi sanaaaa mkuupretty Girls By iyaz feat TravieView attachment 2221830
Ni muongeaji aliyekubuhu huyo wigeHahahahaaaa! Maneno Anne akasome![]()

Njoo uniungishe barafu basi mwanangu.Unamchokoza
Kiuno nyigu
Ngoja aje
Nadhani atakuwa
Kimara darajani
Akipiga mishe
Shangazi naomba urudie picha la lile Buti linafika magotini .Wige mi sijakuona![]()