Hivi sikuhizi hawaendi jeshini!!??? Wenye ndugu/ wazazi wanaojiweza walau wataangalia namna ila wenzangu namie hapa wasipojiongeza kutafuta miambili miatatu watachakaa kitaa balaa![emoji3][emoji3] Marahabaa toooo
Hkizo nawaonea sana huruma maana nchi na mifumo yake haijawaandalia pa kuwaweka zaidi ya kuwazalishaaa tu kwange kitaaa
Ndyooooooooh. [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Hamna mamy mie pia nshapita huko lkn still napenda mwanaume avae kawaida tu, suti hizo kama ana event maalum.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe jibu basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaongelea suti nimeshangaa tu hapo kwenye kuchomekea mara shati jeupe! Hata hio suti Huwezi kuvaa siku zote inategemea !! Mfano mwanaume apige kadet yake na shati la kuchomekea mbona anapendeza vizuri tu!!Hamna mamy mie pia nshapita huko lkn still napenda mwanaume avae kawaida tu, suti hizo kama ana event maalum.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa sajaiona picha lakni kitaamu hiyo ni ulimbo ukichanganya na pesa,lakini ukikosa pesa hauna tofauti na muimba kwayaKazi inanilazimu kuchomekea ila sipendi.So kitaalamu hiyo pic ni ulimbo?
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ mama la mamaaa πππ
Jeshini siku hizi pagumu π π π π ni ku ji add tu but inasikitisha sanaHivi sikuhizi hawaendi jeshini!!??? Wenye ndugu/ wazazi wanaojiweza walau wataangalia namna ila wenzangu namie hapa wasipojiongeza kutafuta miambili miatatu watachakaa kitaa balaa!
Usiache[emoji3]Khaa!unatunanga [emoji38]
Haha siachi
Yes cadet ikichomekewa fresh mtu anapendeza.Sijaongelea suti nimeshangaa tu hapo kwenye kuchomekea mara shati jeupe! Hata hio suti Huwezi kuvaa siku zote inategemea !! Mfano mwanaume apige kadet yake na shati la kuchomekea mbona anapendeza vizuri tu!!
Jibu gan? [emoji23][emoji23][emoji23]Nipe jibu basi
Yaan cadet afu avae shat la mikono mirefu achomekee? Aaah hapana. [emoji23][emoji23][emoji23]Sijaongelea suti nimeshangaa tu hapo kwenye kuchomekea mara shati jeupe! Hata hio suti Huwezi kuvaa siku zote inategemea !! Mfano mwanaume apige kadet yake na shati la kuchomekea mbona anapendeza vizuri tu!!
Weeeeeeeehhh acha tu Shos tena hapa nilipo mkuu ana majaribu katika mitihani nyie naomba nitoke salama tu mie !! Sasa kuna hawa Pc wamama/ wababa in service watu na mishahara yao kibao hayo majaribu uwiiii!!πππππMaadam km maadam, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Uwaachiage fursa watoto wabutue vibomu, mie nawasubir huku chuo hapo wakaka wazuri, niwaleee.
Avaaje sasa [emoji23] la mikono mifupi au?Yaan cadet afu avae shat la mikono mirefu achomekee? Aaah hapana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan cadet afu avae shat la mikono mirefu achomekee? Aaah hapana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie napenda tshet za 4m 6, zile classic, au mashat fulaan ya kijanja, aaa wee nakufa miee. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] asiwe anachomokea nawee.Mbona wanapendeza tu labda mie mwenzenu mshamba!!![emoji23]
Haha kumbe!!! π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] asiwe anachomokea nawee.
π π Suruali zanguuu zoote kaki na ni cadet huwezi jua kama nabasirisha au kauka ni kuvae, mashati yangu 99% meupe la blue ni moja tuuu.. sipati hata shida kubadilisha nguzo maana ni zile zile π π π