Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kweli aisee brother namuambiaga dogo ukiwa mkubwa piga pamba mademu watakufuata wenyewe,hata kama pesa hauna pendeza Dada zako tupo tsyari kukununulia pamba
,,,,

tunajua dogo letu akipiga 4m6 zinamtoa kinyama na rangi yake mweeh na kule kudunda ooooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mkaka anayevaa suti, sijui official namuona vipi yaan, nataka mkaka avae casual awww huwa navurugwa woiiiiiiih.

Ubaya wako mjukuu unawaza mizagamuo tu. Wengine wanavaa suti casual za kishikaji kwa ajili ya heshima na utulivu wa ndani walionao. Nadhani ni tofauti ya mitazamo tu...

Ukikua na kupunguza mizagamuo mtazamo wako kuhusu suala hili naamini utabadilika


Na ukinijibu ku*ya nakuitia kamanda Big akunyoroshe!
 
watu na wadogo zao mie dogo langu limeshakua janjarooo kitambooo.

Nikimtazama mdogo angu, najiona mkubwaaa.
 
Ila coca


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…