Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20190608_155933.jpg


Furahi day ndo inaanza😎😎
 
Muulize eti kwanini akujibu vile!! Ila mmhh naona sasa unataka unilete ili niingie kingi halafu unichonganishe naye siyo??[emoji23][emoji23]

Hawezi kuacha kulike anakutania tu mwaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi kusahau kitu muhimu hivyo jamani!!

Kwa nini eti jamani anijibu vilee!? Najua auntie kachua hadi roho ya babu yetu
 
Muulize eti kwanini akujibu vile!! Ila mmhh naona sasa unataka unilete ili niingie kingi halafu unichonganishe naye siyo??[emoji23][emoji23]

Hawezi kuacha kulike anakutania tu mwaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa bwana, naona unanibadilishia gia angani jamani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulitaka nifanyaje sasa?? Ila nitakuja tena jamani au umesahau kitakachonileta huko?? Sasa uringe tena!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Tatizo langu la kutembea unalijua[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Yaani umefika Hadi tazara[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]hapo jirani ningepiga moyo konde nije
 
Back
Top Bottom