Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Sema mi sijamzoea shangazi. Ningepambana mpaka angesababisha tu [emoji16][emoji16][emoji16]Sababisha
Sema mi sijamzoea shangazi. Ningepambana mpaka angesababisha tu [emoji16][emoji16][emoji16]Sababisha
Shangazi niruhusu nimsimulie angalau apunguze maumivu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji41]kumbe upoMpwa wangu siyo Bonge. Labda kuna mwingine [emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilienda JKT, hapo tena kwa lazima nkasema kuna baadhi ya taratibu zikiwepo kabla ya utekelezaji nachomoka mwenyewe, uzuri wake intake yetu hakukuwa na hiyo.Jeshi la Marekani halina watu na ukienda kule kihalali ukasema unataka kujiunga na jeshi watakufanyia mpango wa Green Card na fasta unakwenda depo. Labda ufeli mitihani yao mingine (background check, psychological evaluation.....)....Nenda mjukuu ukawe Seal Team 6 kama wale waliomuua Osama!
Wewe sasaNimemmiss sana.
Akija hapa natulia tuliii nachat naye tu,,,wengine wote siwaoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Nimepitwaa..
Utakuwa umefanya vyema ubarikiweNdio tunamalizia kupiga goti.
Nyie wote lazima mwaka huu mtoke nyumbani
Nipo mpwa!
NiniKabla sijamaliza?
[emoji363][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilienda JKT, hapo tena kwa lazima nkasema kuna baadhi ya taratibu zikiwepo kabla ya utekelezaji nachomoka mwenyewe, uzuri wake intake yetu hakukuwa na hiyo.
Kimbembe sasa huko kwenye mahema, kwanza maisha ya pale khaaaj, nlimuhonga mjeshi anitoroshe, bhana wee 200k angu alichukua, na adhabu juu eti mie mtoa rushwa, sema nikawekwa kitengo cha huduma, sikuteseka hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😏😏Si ni sisi au?
[emoji3064]
Mie mwenyewe nimeifanya sever screen [emoji342] [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji363] nn hiyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marekani hawana hio na wanapokea makundi yote[emoji363] nn hiyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtauzwa mliopo Tz siye wa malawi hatuna shida,,,tunasubiri muda ufike tulianzishe timbwili tunataka ziwa letu.
Wanaopenda kutiana sanaaaa wanakuwa hawana…..Ulijuaje[emoji848]
Na 200K ikapigwa au alikurudishia? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nilienda JKT, hapo tena kwa lazima nkasema kuna baadhi ya taratibu zikiwepo kabla ya utekelezaji nachomoka mwenyewe, uzuri wake intake yetu hakukuwa na hiyo.
Kimbembe sasa huko kwenye mahema, kwanza maisha ya pale khaaaj, nlimuhonga mjeshi anitoroshe, bhana wee 200k angu alichukua, na adhabu juu eti mie mtoa rushwa, sema nikawekwa kitengo cha huduma, sikuteseka hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]