Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usitikiswe na uhalisia
Usiyumbishwe na mazingira
Iwe unaona, au huoni
Ye anapigana eh eh eh

Usiogope ile ripoti ya dakitari
Usiogope lile deni la ile benki
Usiogope ile kesi mahakamani
Anakupiganiaa

Usiogope utavaa shela lako
Usiogope udogo wa kanisa lako
Usiogope maneno na fitna zao
Vita ni ya Bwana

Usipiganeeeee eeeeeh

😁😁😁😁😁
 
Halafu unatukandia...

Ngoja nije nikusukumizie zali la mpwa wangu kijana wa kishua halafu mstaarabu hatari ubakie huko huko Usukumani daima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
A wapi na ubabe mliokuwa nao sithubutu[emoji16][emoji16] alafu kupiga goti nacho kipaji mwee

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Oya coca lazima nkutafute nkiwa na mission ingine,, [emoji16][emoji16] aaaah we mwanamke kiboko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] hivi unajua mie mambo yangu, sometimes huwa najiona km usalama wa Taifa. Hahahah usiulize why, zimia kwenye gia.


Usijar mate ntakupeleka, wewee tyuuh.
 
Pameuzwa pale

Tutatembea sana hapa mjini na vijijini[emoji1]

KARIBU SANA
Tuombe uzima [emoji1545]

Nilitaka niwahi mbina ya 30 Mei lakini naona mambo yamejikonfyuzi. Nitatageti saba saba au nane nane....

Ng'wanachūli chūli
Mgonga
Ng'wanapilipili
Shangata
Nīndwa
Nyanda Omulūkala Sonda...
Nyanda OmuMagūlū Mangū

Na mamanju wengine.

Utamaduni wetu....

Naupenda mno!
 
Nimestaajabu maana style iliyotumika kutafuta mtoto, sijui ni MTUMISHI NIBARIKI au MLOKOLE KASILIM.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ustadhi na Mlokole.
Kinachokushangaza nini mkuu?
Wakati tayari nilikuwa na watoto wawili..tena toka dini tofauti na yangu.

Hao wasio walokole uliaambiwa wana kasoro miili yao?
 
mawardat rafiki yako kitumbo A, leo si kazama chimbo, naye kaja na jambo lake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe yule papaa ake, nae ana papaa ake, jaman chimbo limevamiwa na matukio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo nimecheka had mbavu zinauma, kapewa sasa in4 ya dizaina, why asianze kuropokwa na kuhemkwa? Yaan huko full vituko.

Afu ubuyu wake had kwa mange umefika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] hivi unajua mie mambo yangu, sometimes huwa najiona km usalama wa Taifa. Hahahah usiulize why, zimia kwenye gia.


Usijar mate ntakupeleka, wewee tyuuh.
Haya ndo mambo sasa ya muhimu,, [emoji16][emoji16]

niulize nimekuwa mkuu wa upelelezi au,, hiyo inapigwa juu,, ikifika chn tunakusanya vyombo[emoji16]
 
Back
Top Bottom