Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,192
- 183,008
kitambi kimening'inia😂😂😂😂😂😂🤣Hiyo emoj ya kulia umefichia Nini?
kitambi kimening'inia😂😂😂😂😂😂🤣Hiyo emoj ya kulia umefichia Nini?
Tuone[emoji23]kitambi kimemiminika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hahaha....Jaga nang'he agonoga na gozunywa gukeNaona tu nikukaribishe kwenye ukoo wetu. Kijana mstaarabu sana tena mno. Nilishakaa naye namfahamu vyema. Kama aliweza kudeti mzungu kwa miaka mitatu na kwako naamini hatashindwa hasa ukizingatia kuwa wazungu wanapenda kudekeshwa hatari. Yupo Mwanza hapo anapiga mishe zake...
Karibu kwetu Nyaumata [emoji16][emoji16][emoji16]
Ulitaka nitumie kiambishi awali kuzishi cha ngeli ya tano (li-)?Ka??
Hahaha.....Mapela na maguwa na mandazi agaliyagwa sana olosiko olo!!Nadebile. Nūnene nabachima noi.
Bagosha! [emoji16]
Banikī bado balika ling'we abenaba.Hahaha....Jaga nang'he agonoga na gozunywa guke
[emoji23][emoji23]sasa mzungu anadeka kwa kizungu yes yes nyingi mm wa chimba unye huku darasa la Saba B akiniuliza unatak Nini mamaang napepeya juu mawinguni [emoji1]Naona tu nikukaribishe kwenye ukoo wetu. Kijana mstaarabu sana tena mno. Nilishakaa naye namfahamu vyema. Kama aliweza kudeti mzungu kwa miaka mitatu na kwako naamini hatashindwa hasa ukizingatia kuwa wazungu wanapenda kudekeshwa hatari. Yupo Mwanza hapo anapiga mishe zake...
Karibu kwetu Nyaumata [emoji16][emoji16][emoji16]
Leo mbona mnalala mapema?
Kwahiyo umeona uanze kuniumiza kichwa na viambishi rejewa sijui rejesha bila kujali mimi ni la Saba b!Ulitaka nitumie kiambishi awali kuzishi cha ngeli ya tano (li-)?
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ka - kiambishi awali dogoshi dhanaishi chenye kuleta upambishi na mvuto kwa kirejelewa....
Ka-one....
Li-one...
Mu-one
Ki-one.....
Sisi siyo watu wazuri?[emoji23][emoji23]sasa mzungu anadeka kwa kizungu yes yes nyingi mm wa chimba unye huku darasa la Saba B akiniuliza unatak Nini mamaang napepeya juu mawinguni [emoji1]
Sema nyie sio watu wazuri msinitumie [emoji249]tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nalala mapema kwasababu umesusa na mie nasusa[emoji3064]Leo mbona mnalala mapema?
Au kwa vile mna mitihani?
Mjukuu [emoji91][emoji91][emoji91]
Kamanda P akifanya yake ukajiachia ukawa yutong na hiyo shepu yako ya kimalaika ndo nitaanza kutumia mu. Kwa sasa ni mwendo wa ka- tu na ki-Kwahiyo umeona uanze kuniumiza kichwa na viambishi rejewa sijui rejesha bila kujali mimi ni la Saba b!
Tumia mu.
Nimebeba watoto dabo humu ndani halafu unasema ka kweli?
Nimesusa?Nalala mapema kwasababu umesusa na mie nasusa[emoji3064]
[emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe haujasusaNimesusa?
Mimi huyu?
Wapi?
Marahaba mjukuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe haujasusa
Shikamoo babu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo sijui mm sijaona hao mil 12 nimewaona naoishi naoSisi siyo watu wazuri?
Tuko milioni 12+
Kweli wote siyo wazuri?
Ulitumia sampuli gani wakilishi (representative sample) kufikia hitimisho lako la jumla kuwa sisi wote siyo watu wazuri?
Dogo mtu poa sana. Hutajuta!