Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Daaaaamn,,, coca umenishinda tabia [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakupeleka chobingo ingine, yaan hapo lazima ugeuze uwanja wako wa nyumbani.

Si unajua mie mtu wa sehemu za mafichoni, yaan chimbo kweli chimbo. Hahahahah
Nazeeka na utamu wangu jomoneeeeh.
 
Leo nimeletewa mayai ya kienyeji manne nyie mm napendwa jamn[emoji7]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Halafu unatukandia...

Ngoja nije nikusukumizie zali la mpwa wangu kijana wa kishua halafu mstaarabu hatari ubakie huko huko Usukumani daima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakupeleka chobingo ingine, yaan hapo lazima ugeuze uwanja wako wa nyumbani.

Si unajua mie mtu wa sehemu za mafichoni, yaan chimbo kweli chimbo. Hahahahah
Nazeeka na utamu wangu jomoneeeeh.
Oya coca lazima nkutafute nkiwa na mission ingine,, [emoji16][emoji16] aaaah we mwanamke kiboko
 
Back
Top Bottom