Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,010
- 3,554
Mbona wapo jamaniWeeeh!!!
Mzungu anakuwaga cheusi Mangala?
Mbona wapo jamaniWeeeh!!!
Mzungu anakuwaga cheusi Mangala?
Basi sasahivi kama hadi Mimi mzungu itakuwa kila mtu mzungu 😂Mbona wapo jamani
Kuna version aliyo imba Angel chibalonza.. shida hapa natumia gereza huru.. nakuwekea link kama utaipenda version yake..Saint Anne Heaven Sent _King Kuna ule wimbo ni wa kusifu siukumbuki vizuri una some verses zinasema ""ndiooooo ndiiiiioo bwanaaaaa ndiooo bwanaa ndioooo..". kama mnao naomba mnitumie hapa nautafuta sana
🤣🤣🤣 humu kila mtu mzungu na mwaka huu tujipange kurudi kwenye nchi zetu maana Mama samia kaanza visaBasi sasahivi kama hadi Mimi mzungu itakuwa kila mtu mzungu 😂
Dah Mimi wa mchongo,Tena mchongo wa uongo🤣🤣🤣 humu kila mtu mzungu na mwaka huu tujipange kurudi kwenye nchi zetu maana Mama samia kaanza visa
😂😂😂🤣🤣🤣.... kuna sehemu wanarudia rudia" There's no one like Jehovah there's no one like Jehovah "' 🤣🤣😂😂😂😂Siku nyingi nautafuta sana sijui kaimba nani ila!Hebu yapachike halafu tuone 😂😂😂
Wasalimie wajasi mkuu
Na ingine kuna ya Eunice NjeriSaint Anne Heaven Sent _King Kuna ule wimbo ni wa kusifu siukumbuki vizuri una some verses zinasema ""ndiooooo ndiiiiioo bwanaaaaa ndiooo bwanaa ndioooo..". kama mnao naomba mnitumie hapa nautafuta sana
Salamu zimefika[emoji8]Wasalimie wajasi mkuu
Kuna version aliyo imba Angel chibalonza.. shida hapa natumia gereza huru.. nakuwekea link kama utaipenda version yake..
🤣🤣Dah Mimi wa mchongo,Tena mchongo wa uongo
Chaaa
Zipi??
Baba yetu Wasira au yupi?
Hiki Cha huyu dada kinaelekea kumfikia wa majalalani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahWauuweeeeeeehhh..[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Thats our big boss[emoji6][emoji6][emoji12]
Santo sana...
Hapa nikaanza kuimba "Kila mtu anasema u mwema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... kuna sehemu wanarudia rudia" There's no one like Jehovah there's no one like Jehovah "' [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku nyingi nautafuta sana sijui kaimba nani ila!
Sijaona hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hallelujah!!!
Hamna, nilikuwa nasikiliza tu masong, huo nao ukapiga. Nikasema nimtumie Mtumishi aufikishe kwa my wake na yeye ajidaiKupatwa kwa Mama Mchungaji?
Monday to Monday
Mapenzi ndi ndi ndi! [emoji91][emoji91][emoji91]