Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Niko poa mama, mzima?
Nashukuru Mungu niko poa...
Niko poa mama, mzima?
Sema nn vibonge wote peponiView attachment 2216813
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Utanipeleka shost, mambo ya mlo ndio kitu napendaga😋😍
😏😏😏😏😏Wacha niringe tuuu, hii bahati niliyonayoleo niyaaina yake, nasimu nazima kabisaaaaa sitaki shidaaaa
Kwenye simumbio kuingiza
Nini na uliingiza wapi![]()
Mpwa ushaachia mzigo?
Kwa jinsi mambo yalivyo magumu![]()


lakini ujuwe natania tu mama...Ushawahi kuwa dr wangu mpaka na ujue magonjwa yangu 🙄Kumbe hujapona ule ugonjwa hadi umeanza kunywa miti shamba?
Aah mama Sophy nawe ni bonge?😂😂Sema nn vibonge wote peponiView attachment 2216813
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mdogo wangu Saint Anne😏😏😏😏😏
Misitu yenyew inafuga nyoka
Wakimbizane humu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app










Bana bana, picha nayoitaka inagoma. Ngoja nijaribu kwa mara ya mwisho
Strawbella ya kitambo shangazi, sijui kamshono utakaona vizuri
Saint Anne nimeweka skuna tenaView attachment 2216799


Uko vzr Aunt
Hili nakuzima hili gauniBana bana, picha nayoitaka inagoma. Ngoja nijaribu kwa mara ya mwisho
Strawbella ya kitambo shangazi, sijui kamshono utakaona vizuri
Saint Anne nimeweka skuna tenaView attachment 2216799
KibongeAah mama Sophy nawe ni bonge?![]()
ilo poz ndo nimejibana
Ni.eshangaa hiyo mitishamba tu dogo sijui malimao, sijui ndulele au ni local beer🤣Ushawahi kuwa dr wangu mpaka na ujue magonjwa yangu 🙄
Ndaga fijo shangaziHiki kitenge ni kizuri nimekipenda
Na mshono nimeuona![]()
Tutasogeza siku nyingine aunt nilikuwa nakuonyesha mshono umshonee bibiyake JuniaUko vzr Aunt
Ahsante kwa selfie lkn ungesogeza juu kidogo ingependeza Aunt
😋😋 wewe tenaUtanipeleka shost, mambo ya mlo ndio kitu napendaga😋😍