cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Jishaueeeeeee. Nakusubiri kwa hamu, jinsi utakavyo-change motionKwamba tangu jana huelewi ninachokuambia kuhusu bibi kutaka mjukuu?![]()
Unamfahamu Timi Dakolo? Hatari sanaYour voice like a milk
Milkshake ya chocolate
Eeeeeh lini umeanza uchungaji?Aliingia moyoni mwangu kanipa kutuliaaaa
Kaniambia ewe mwanangu usilie tenaaa
Ninajua shida zako mimi nitazitatuaaaaa
Biila Yesu mimi ni mtu bureeeeeeeeeView attachment 2217145




Mtindo wa desk nimependa.



Sijaona picha yako.Ye mwee
Mimi?
Wewe ni yupi hapo?
nyiee mie nimepitwa sana leo, uwiiiih.
Hamna, nilikuwa nasikiliza tu masong, huo nao ukapiga. Nikasema nimtumie Mtumishi aufikishe kwa my wake na yeye ajidai
Sent using Jamii Forums mobile app








Yani naupenda sana ule wimbo kichwani unakuja unakataa.!!.....Hapa nikaanza kuimba "Kila mtu anasema u mwema.
Kule nikaanza kuimba umenifanya ibada
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣😂😂😂 hata tushtue kidogo utuweke kwenye reli shangazi...Madame[mention]mahondaw [/mention] kujilipua tayari kwani?
Mimi mwenyewe nimepitwA




niko zangu chimbo nakula ubuyuu, nacheka km chizi, kidampa wanachachuka sio mchezo, woiiiiihWeka bhana nawee.hata tushtue kidogo utuweke kwenye reli shangazi...