Selfika na JF: Snap it. Show it

Na risk ni kubwa pia Bora kawaida tu!
 
Pale mwanzo huwezi hata kucheka mdogo wangu na usiombe uugue kikohozi utakufa mbona!
Ndugu yangu alifanyiwa op alikufa kisa kikohozi !!
Ndugu yangu alibanwa kikohozi
Juzi akaanza kukohoa na kutapika hadi akarudishwa hosp maana alianza kutapika nyoga sijui nyingo..kidonda kibiiichi uwiii

Haya mambo ni kama betting,ni Mungu tu anaingilia kati.
 
Pale mwanzo huwezi hata kucheka mdogo wangu na usiombe uugue kikohozi utakufa mbona!
Ndugu yangu alifanyiwa op alikufa kisa kikohozi !!
Kuzaa ni kujitolea uhai sio mchezo
hata ukifatilia historia za matatizo menginya wanawake ni baada ya kujifungua

Utasikia mguu ulipooza baada ya kujifungua
Mwingine kibofu kililegea baaada ya kujifungua

Mishono isiyopona
Vifafa baada ya mimba khe nyie

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…