Selfika na JF: Snap it. Show it

Raha sana kuoga na kopo… imagine unaamka unaenda kuanika maji juani😂😂😂


Endelea kumuigizia unatusema na wewe mbingu utaisikia 🤣
😂😂😂😂😂😂
Wakati hapa nipo nachukua maji juani nikajimwagie na kopo fasta nirudi kwenye kagodauni..

Sijui nimtag yule dada aje atupelekeshe huku🤣
 
Sina pazia aina 1
Siwezi rudia rangi
Sibadilishi..
yan January to December umewekaga tu cream/ rangi ile ile?
Can’t copy that!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nan kakuambia habadilishi pazia?
Pazia zinakua pair hata 4, ila rangi 1, ikifuliwa hizi zingne zinawekwa, ila km zile zile,

Sio unatoa kijani, unaweka blue, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Badilisha, acha kuniangusha bhana dada mzuri. Woiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…