Selfika na JF: Snap it. Show it

Naujua udhaifu, na kuwa na afya
Katika yote wewe bado Mungu
 
huku hata kuwe na jua vipi huwa natembea na sweta wewe ukatoka na kiblauzi pekee cha moto ulikipata pole.

Shida ya baridi la Mbeya linakupiga hadi kwene mifupa unaliskia, mimi kila nikija huku lazima niumwe hapa nina wiki 2 nakohoa na mafua juu juzi ndio nmepata afadhali. Huku hakufai kabisa.
 
Auntie Junia kichwa kilinikalisha hiki

Nilikuwa najisuka Mdogo mdogo nikawaza nikilala bila kumaliza basi kuchana nywele zilizolala itakuwa kasheshe.
Hahha iyo hatari kujisuka usiku kucha nunua blow dry siku ukichoka kusuka usiku ukiamka asubuh unanyoosha unaendelea na kusuka sema uwe umeagana na tanesco


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sawa dada skuna
 
Cha ajabu sasa ukiwa Mbarali unasahau kabisa kama upo Mbeya. Sogeasogea tu mlima nyoka, mifupa inashtuka yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…