Umetokelezea ki Sunday Sunday,mguu fulani hivii unaoongea mengi yaliyojifichaa.Japo picha zako mchoyo
View attachment 2216343
Oyeeeeeeeee. Mabinti AbiudHappy Sunday to you too dear
#team vitenge oyeee
Safari ya imani, nakutazama yesuFeelin' unworthy of Your grace
Feelin' unworthy of the price You paid for me
Even when I fall, Your love paid it all
I don't deserve it, I don't deserve it
… Oh Lord, I know I get weak
But in You, I am strong
Your love paid it all
I know You still love me
You still love me
You still love me
Even when I fall
I'm not perfect, I don't deserve it
You didn't change Your mind, left my past behind, oh Lord
See I'm not perfect, but still You call me worth it
You didn't change Your mind, left my past behind, Lord
You still love me....View attachment 2216336
Unatubania sana, hasa sisi mafans wako😃❤❤❤❤
#Mimi siyo mchoyo#
Hata mama mchungaji anajua
ChoyooooooooooMama mchungaji mimi siyo mchoyo😔
Unashangaa nini?Eeh[emoji848]
Tunajuana ndiyoMnajuana tayari[emoji848]
Dunia kwishnee[emoji2089]
Nilidhani mnafahamiana[emoji1787]
mzunguuuui 😘😘♥️
Nifongokie wapi?Unatuwekea vizungu vya english course[emoji848]
Fooongoookaaa
Sio unajizungulusha kama mwendokas
Ndyooo wax, napendaa.Kweli jamani. Unapenda Wax?
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]mzunguuuui [emoji8][emoji8][emoji3531]
Muinjilisti hujaingia ibadani Leo?Safari ya imani, nakutazama yesu
Nataka nifike ng'ambo salama
Lakini njiani mawimbi ni mengi
Mashaka yanisonga kuniangamiza
Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Mawimbi ni makali nahitaji msaada
Nishike Mwokozi niwe salama
Wewe ulieniita nakuja kwa neno lako
Napata kutembea kwa neno lako
Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Safari ya imani, natembea kwa imani
Zambi isinishinde, nisaidie
Katika majaribu makali kama moto
Najua nitatoka kama dhahabu
Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Oh, oh, oh, nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Nishike mkono nisizame
Mawimbi ni mengi, niokoe
Nimeikosa hiiimzunguuuui 😘😘♥️
Amen[emoji120]Happy mother's Day kwenu wakina mama shupavu na jasiri mlioweza kulea watoto wenu vyema na kwa upendo, MUNGU awabariki sanaa.
Hongereni pia wake zetu mlio tulelea watoto wetu na mnaendelea kuwalea kwa upendo na malezi bora, mbarikiwe mpaka mshangae.
Tunawapenda sanaaaa.
Hii siku yenu ikawe njema na mkaifurahie View attachment 2216194
Sipendi wax, huwezi amini. Ninazo chache sana za kupewa zawadiNdyooo wax, napendaa.
HahahaaaUmetokelezea ki Sunday Sunday,mguu fulani hivii unaoongea mengi yaliyojifichaa.
Pamoja ni nyuma,umeumbika.
Mungu aendelee kutukuzwa katika uumbaji wa wanawake,hakika ni fundii.
Jumapili Leo Coca ooooh[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Njoo uchukue notesAmiin dear
Namsubiri Mama junia
Saint Anne anipe mbinu [emoji16]nimpate nduguyak Junia fasta
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anne kama Anne?????!!!![emoji15][emoji15][emoji15] [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Happy Birthday To You [emoji482][emoji482]