Selfika na JF: Snap it. Show it

Kichwa kimenivimba, ahsante.
Nimegundua wewe ni mtu mstaarabu licha ya yale matani yako uliyokujaga nayo humu watu wakawa wanakuchukulia kama mtoto.

Kule intelligence nimeona uliuliza maswali ambayo nikuwa nayawaza...nikawa naserereka tu mkuu.


Hebu Selfika picha yako kidogo boss wangu tuviringishie vizuri hizi sifa.
 
Dah! kuna watu mnajua kuomba na mna style za kuomba selfie 😂😂

anyway, majaaliwa nitaweka tu mkuu.
 
Dah! kuna watu mnajua kuomba na mna style za kuomba selfie


anyway, majaaliwa nitaweka tu mkuu.

Mkuu hizo sifa hazihusiani na Mimi kuomba selfie.

Imagine nimesubiri muda wote huu nafungua comment yako Kwa pupa nilijua umetupia kitu

Si unajua namna inavyouma eeh??
Na nimekusifia wewe si mbinafsi, tafadhali mkuu fanya namna hapa kabla sijalaza hili fuvu.
 
Poa nikiweka nitakutag.
Sema sio leo siku ingine mkuu.
 
Polesana lakini pia ulitumia busara mno kumuacha maana ungempiga ungemuumiza aisee

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Binafs kwa huku nakoishi wapo lkn nisiseme uongo sijawahi chunguza sabbu ni ipi huenda wanawake wakawa ni sabbu

Lkn pia haimfanyi umpige had azimie kunanamna nyingi za kurekebishana..

Mapenz yamekuwa hayana mvuto na kikubwa heshima hakuna kwa pande zote hakuna heshima kwa mwanaume kwa mwanamkewake na mwanamke Hana heshima kwa mwanaume wake

Hakunatena kukosoana kwa adabu hakuna usiri hakuna kusikilizana Wala kubembelezana


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Shikamoo Aunt sophy27
 
Pole sana
 
Good girl,
Selfika basi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…