cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Ouk.Naenda dia, thnx.
Ouk.Naenda dia, thnx.
Hivi codes ni ngumu mnooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kwa code hizo dear
EwaaaSiku moja moja una mkunja shati kidogo[emoji2096][emoji2096][emoji2][emoji2]
Eeh ngumuHivi codes ni ngumu mnooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakudunda balaa alikuwa serious na ndoa aise nikaona hapa itkuwa ndoano nitakuja kupigwa nife[emoji16]Hawa wanakuaga ngumi mkononi ukizingua kidogo tu unalo [emoji23]
Bora kusepa, sasa mwanaume gani huyo.Anakudunda balaa alikuwa serious na ndoa aise nikaona hapa itkuwa ndoano nitakuja kupigwa nife[emoji16]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea.Eeh ngumu
Nimemuonea huruma huyo dada
Na mwanaume ukiona amainua mkono hivi ujue pia amejikaza akashindwa na mwanamke amemdhihaki vyakutosha, wanaume asili yetu sio waongeaji ndiyo maana defence mechanisms yetu ni kutishia we nitakuzaba ukiendelea hapo he didn't mean a thing ila unapozidi sasa kuonyesha jeuri utomvu wa nidhamu ndiyo hatari inakua zaidiSahihi, na nisivyopenda purukushani sasa sitaweza bwana mbabe.
Inasikitisha duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea.
Yaan wee acha tyuuh.
Wasukuma madikteta sana aisee.Anakudunda balaa alikuwa serious na ndoa aise nikaona hapa itkuwa ndoano nitakuja kupigwa nife[emoji16]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wewe mtu umekaza khaaa!!Hivi codes ni ngumu mnooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raha ya mapenzi umfumue bebi na kofi ukijua kabisa hawezi kurudisha maana akirudisha atakuumiza.Wengi mno sema wanawake nao sikuhiz wameamka wanawadunda wakat mwingine[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Yes sahihi. Na kuna wanawake wana midomo kweli kubondwa hakukwepeki.Na mwanaume ukiona amainua mkono hivi ujue pia amejutana na mwanamke amemdhihaki vyakutosha, wanaume asili yetu sio waongeaji ndiyo maana defence mechanisms yetu ni kutishia we nitakuzaba ukiendelea hapo he didn't mean a thing ila unapozidi sasa kuonyesha jeuri utomvu wa nidhamu ndiyo hatari inakua zaidi
Unamfundisha fujo mwenzako halafu haziwezi
Haujui tu ninavyokuwinda leo[emoji23],,,,,,mie nataka unifanyie wepesi[emoji41]Hivi codes ni ngumu mnooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawah pata huu ujasiri hata niudhiwe vipi.
Alafu sio mjanja wenzake hawasemi wanakausha tuBora kusepa, sasa mwanaume gani huyo.
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] ntakujia PM.Haujui tu ninavyokuwinda leo[emoji23],,,,,,mie nataka unifanyie wepesi[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaaaaah!!!
Kuna wanaume bado wanapiga wanawake kwa ngumi??
Aiseee
Hivi codes ni ngumu mnooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]