Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,258
- 49,190
Huko nje Kuna FFU wa kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]Student
Ni kweli upo peke yako nyumbani? hebu nipe location.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Huko nje Kuna FFU wa kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]Student
Ni kweli upo peke yako nyumbani? hebu nipe location.
Kiongozi upo vizuri!
FFU achana nao hao wanawatafuta panya road..Huko nje Kuna FFU wa kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23]
Saint AnnePombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu.
Sira 31:27
Taratibu nafika hapo bar maramoja tuonane baadae ndugu zangu.
Vipi hali yako leo dear ?Nakuambia hivi!
Hameni kwanza stoo ndio mje kunisema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kwanza kutumia cheap android phone ndio uanze kunisema 😛Akiyanani nimecheka [emoji1787]
Mashimo siku hizi aanaigiza bongo movie?
Aisee[emoji23],si ajabu hata pale Mbezi stand anatufanyia tu Sanaa[emoji1787]View attachment 2215335View attachment 2215337
😂😂 sihami… na nitakusema kila sikuNakuambia hivi!
Hameni kwanza stoo ndio mje kunisema😂😂😂😂😂😂😂
Nilivosoma kwa umakini looh[emoji1787][emoji1787]Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu.
Sira 31:27
Taratibu nafika hapo bar maramoja tuonane baadae ndugu zangu.
Naelekea bar kulifanyia kazi andiko.Nilivosoma kwa umakini looh[emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Usiku nilistruggle mno kulala.Vipi hali yako leo dear ?
JomonyyyyNimemficha huku Survey tyuuuu
Sijui na mimi niwaambie mkajifunze kwanza kuoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sihami… na nitakusema kila siku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kwanza kutumia cheap android phone ndio uanze kunisema [emoji14]
Za godown?Katafuteni kwanza gram 10 ndio mje kuchat na Mimi 🤣
Nini shida binti Zuma?Usiku nilistruggle mno kulala.
Asubuhi nikaamka vizuri.