cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Mungu wangu weee!!!! Hadi koo limeshtuka, huo ulanzi jaman khaaah.Acha tumwagilie moyoView attachment 2211839
Mama wee!! Yaan hadi kiu imekuja ghafla, afu huo uliogemwa kwa mbeta iliyokomaa, daaaah
Aseeeh umeniumiza mnoo, yaan had mate yamejaa mdomoni.





