Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

What I thought was gonna be the death of me was my saving grace
It's got me thinkin' that her leavin'
Is the only logical reason
That I got the last spot in the Hooters' parking lot
And the waitress left her number on my check with a heart
She picked up on the first ring when I gave her a call

IMG_20220503_225054.jpg
 
Ndio juzikati tu ndio imeanza !nilienda wakanipa mavidonge fulani hivi naona bado nataka niende hospital nyingine nione! Mi mwenyewe chakula changu kikubwa kilikua mchemsho sipendagi vya kuunga unga sana mie sasa hapo nakomaje!! ya kuku hadi niikaange kauuu walau!

Ooh okay
Hebu angalia hospital hiyo nyingine uone waweza pata matibabu tofauti .
mazoea ni shida ila bora unakula hata huyo kuku aisee
 
Kwani hana Ndugu wakike jamaa na marafiki we mpambe kha!!
Mwakani nina mpango wa kutotoa ka last born sasa nikiwaza mzazi kukosa michemsho ya nyama ngachoka!! Na huku niliko samaki kupatikana kwake ni balaa tupu!
Mimi sipendi supu wala ndizi na huo mtori
Huwa najiuliza hili ila nasikia wengine wanasema hizo supu si nzuri zinafanya unanenepa tu nothing else . ..
 
Ooh okay
Hebu angalia hospital hiyo nyingine uone waweza pata matibabu tofauti .
mazoea ni shida ila bora unakula hata huyo kuku aisee
mimi huku kwingine naona poa tu maharage dagaa mboga za majani na matunda kwa wingi.. kasheshe kwenye uzazi ila ikigoma sitakua na namna mbona Kuna ambao hawali nyama na wanajifungua buana!!(Tatizo mazoea Mtoto wa kwanza na wapili ilikua fureshi tu)🤣🤣
 
mimi huku kwingine naona poa tu maharage dagaa mboga za majani na matunda kwa wingi.. kasheshe kwenye uzazi ila ikigoma sitakua na namna mbona Kuna ambao hawali nyama na wanajifungua buana!!(Tatizo mazoea Mtoto wa kwanza na wapili ilikua fureshi tu)

Ooh hapo jitahidi uongeze vyakula vingine venye protein .. aisee naamini Mungu atakufungulia njia utarudi katika hali ya kawaida .

Yeah wapo wasiopenda hiyo michemsho na watoto wanakuwa vyema tu .
 
Back
Top Bottom