Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooh pole
Kumbe imetokea hivi karibuni vipi umeenda hospital yawezekana ni allergy fulani hivi .

Navyopenda nyama .. nakuonea huruma aisee
Supu huwa nzuri sana wakati wa uzazi ..nakuombea upate suluhisho aisee
Ndio juzikati tu ndio imeanza !nilienda wakanipa mavidonge fulani hivi naona bado nataka niende hospital nyingine nione! Mi mwenyewe chakula changu kikubwa kilikua mchemsho sipendagi vya kuunga unga sana mie sasa hapo nakomaje!! ya kuku hadi niikaange kauuu walau!
 
Back
Top Bottom