Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata km sijari wala nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16515765265390174.jpg
 
Nilikachambaa katoto kadogo kanataka kusumbua wakubwa zake
Nikawaambia hivi nyie mnadhani nyie ndo wa kwanza kujua mapenzi dunia nzima??
Wazazi wenu wanajua watoto wapo shule kumbe mnafanya ujinga tu!
Kama hamuwezi kutoka wenyewe Kwa amani basi ngoja nimwite Suma awatoe[emoji38].

Kuna hadi nyumba vya elfu 15 huko mjini ila wameng'ang'ana tu kukera watu hostel...aisee sipendagi ujinga.

Kila jambo linatokea Kwa sababu...huenda Mungu alikuwa ananiandaa kuvumilia kero hapa duniani.
Hiyo bei ya vyumba

Uliijuaje[emoji848]
 
Back
Top Bottom