Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooh nice
Samaki unakula ?
Samaki Ndio mkombozi wangu saivi! Yani tangu nizaliwe nilikua nakula saivi kama miezi 6 hivi nashangaa nikila Navimba a mwili mzima afu nawashwa utanionea huruma! Hapa nawaza nikibeba ujauzito mwingine nikijifungua kupatikana kwa samaki sasa nilivozoea mchemsho wa nyama mie uwiii!!!!!🙆🙆
 
Samaki Ndio mkombozi wangu saivi! Yani tangu nizaliwe nilikua nakula saivi kama miezi 6 hivi nashangaa nikila Navimba a mwili mzima afu nawashwa utanionea huruma! Hapa nawaza nikibeba ujauzito mwingine nikijifungua kupatikana kwa samaki sasa nilivozoea mchemsho wa nyama mie uwiii!!!!![emoji134][emoji134]

Ooh pole
Kumbe imetokea hivi karibuni vipi umeenda hospital yawezekana ni allergy fulani hivi .

Navyopenda nyama .. nakuonea huruma aisee
Supu huwa nzuri sana wakati wa uzazi ..nakuombea upate suluhisho aisee
 
Good night wote

20220503_224645.jpg
 
Back
Top Bottom