tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,836
- 8,257
KazanaNaelekea final. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KazanaNaelekea final. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Great day indeedI am okay
Had a gud day?
Nilisikia supu ya samaki ni nzuri inawahi kukaza kiuno/ mgongo kwa mzazi!Mimi sipendi supu wala ndizi na huo mtori
Huwa najiuliza hili ila nasikia wengine wanasema hizo supu si nzuri zinafanya unanenepa tu nothing else . ..
Thanx.Kazana
I finally got to see my little Sister, nice photo kadogooo.
Kabisa ila hii aleg ya ukubwani inikome Mie 😩 naamini nitapona IJN!!Ooh hapo jitahidi uongeze vyakula vingine venye protein .. aisee naamini Mungu atakufungulia njia utarudi katika hali ya kawaida .
Yeah wapo wasiopenda hiyo michemsho na watoto wanakuwa vyema tu .
Yeaaaaah ma sis kipenziii,, [emoji3059][emoji3059][emoji3059]I finally got to see my little Sister, nice photo kadogooo.
Nasubir hapa.
Utaanza lini kunipa shikamoo 😂Yeaaaaah ma sis kipenziii,, [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kaa hapo hapo nikutumie picha ya hii kamera yangu uone!Yeaaaaah ma sis kipenziii,, [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Nilisikia supu ya samaki ni nzuri inawahi kukaza kiuno/ mgongo kwa mzazi!
Lakini pia na supu ya nyanyachungu ni nzuri kwa mzazi eti mimi walikua wananichemshia nilipojifungua sasa ikikosekana hio samaki supu ya nyanyachungu kavukavu mwanangu [emoji848][emoji848][emoji134]!
Namimi nasubirii😜Kaa hapo hapo nikutumie picha ya hii kamera yangu uone!
Fanya mambo tulaleKaa hapo hapo nikutumie picha ya hii kamera yangu uone!
AmenKabisa ila hii aleg ya ukubwani inikome Mie [emoji30] naamini nitapona IJN!!
Tatizo kamera best!!!Fanya mambo tulale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namimi nasubirii[emoji12]
Leta hivyo hivyoTatizo kamera best!!!
Ehh poleHii simu inachonifanyia mwenzenu [emoji134][emoji134]View attachment 2210542