donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Huu uchungu hauelezeki
Huu uchungu hauelezeki View attachment 2210196
Kasulu kuna ugali kweli?![]()
Hahaa kiingereza chenyewe hata sikijui naahidi sitokuangusha katika hilo, ntaongea hata kinyakyusa ukinikataza kiswahili😂😂Niahidi
Hautaongea kiingereza ili
Nikutoe out
Haha si nilikuwa nishakomba sahaniLooo umetenga bila karibu ngoja nifanye yangu, eidd mubaraka mtu wangu wa nguvu
Tobaa kawafinya watoto huyu, imekuaje mkuu poleeHuu uchungu hauelezeki View attachment 2210196
Haha parachichi halikuwekoHili lipo wapi
Mina faidhina!( sijui nimepatia?🤔)Yaani, ndio tunashika simu, Eid Mubarak 🥰
Njoo Nash ParkHahaa kiingereza chenyewe hata sikijui naahidi sitokuangusha katika hilo, ntaongea hata kinyakyusa ukinikataza kiswahili![]()
Kwa kweli ni ushkaji uchwara😂Dah smart sana kumbe ulienda shule kuchota maarifa na sio ujinga, umewachapa na maneno malaini lakini yaliwaingia akilini, exile zikizidi chuoni ni ujinga mnajifanya eti ushikaji hakuna ni kufuga upuzi, isitoshe wanapigana hapo na wewe upo stupid
Yaani nikiwafikiria panya road nazidi kufunga mlango aisee, hivi out ya mchana vipi si ni nzuri tu mkuu kesho eid 2😂Njoo Nash Park
Goba
Pisi ya kakaHaya jmn njooni maeneo tumalizie siku!View attachment 2209828
Yaani hakuna nguo inakukataaukala Eid kimya kimya sofi 🤔!!