Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mimi nawapendea dakikaNimewahama pasipo kupenda
Napenda sana kuongea na simu hapo hawatubanii wateja wao.
Mimi nawapendea dakikaNimewahama pasipo kupenda
Hahaha....panaitwa zanzibar leoLamadi
Ama pale
Kwa Ngolo sima[emoji848]
Yeah kwenye vibundle vya kupiga na msg wapo vizuri we msg 3000 kwa 500 [emoji16][emoji16]wanakuja fidia kwenye bundle za InternetMimi nawapendea dakika
Napenda sana kuongea na simu na hapo hawatubani wateja wao.
Ukilala utaota unakula pilau la mwaliko kumbe unakula shuka[emoji1787][emoji1787]Siamin jion inaingia bila bila yaani no mualiko wala nini. Em nilale zangu.
Karibu dear,[emoji7]Siamin jion inaingia bila bila yaani no mualiko wala nini. Em nilale zangu.
Hahah hiyo kwa siku nini ?Yeah kwenye vibundle vya kupiga na msg wapo vizuri we msg 3000 kwa 500 [emoji16][emoji16]wanakuja fidia kwenye bundle za Internet
Lady in red sio[emoji106]Haya jmn njooni maeneo tumalizie siku!View attachment 2209828
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] silali usingizi bwana nasubiri mualiko wako ujue.Ukilala utaota unakula pilau la mwaliko kumbe unakula shuka[emoji1787][emoji1787]
Hatimae [emoji7] ahsante my dear wacha nikabebe vitendea kazi kabisa.
Ulikuwa wazazi wao kwa muda mfupi, mbona walikoma uliepusha mengi siajabuNilikachambaa katoto kadogo kanataka kusumbua wakubwa zake
Nikawaambia hivi nyie mnadhani nyie ndo wa kwanza kujua mapenzi dunia nzima??
Wazazi wenu wanajua watoto wapo shule kumbe mnafanya ujinga tu!
Kama hamuwezi kutoka wenyewe Kwa amani basi ngoja nimwite Suma awatoe[emoji38].
Kuna hadi nyumba vya elfu 15 huko mjini ila wameng'ang'ana tu kukera watu hostel...aisee sipendagi ujinga.
Kila jambo linatokea Kwa sababu...huenda Mungu alikuwa ananiandaa kuvumilia kero hapa duniani.
Ah unclee safi sana mpe salamh zangu za eidd[emoji1782]mpo wapi niwatembeze mjini
Vyote utavikuta huku,njoo mwenyeweHatimae [emoji7] ahsante my dear wacha nikabebe vitendea kazi kabisa.
I'm good too rafikiYea
Iam good mkuu!
And u???
Ahsante dear.
Nimekutumia anuani yangu ya makazi pm sema haijakufikia kuna shida gani, ngoja nitume tena mtu wangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] silali usingizi bwana nasubiri mualiko wako ujue.
Mmh! Unaniigizia tu hapa.Nimekutumia anuani yangu ya makazi pm sema haijakufikia kuna shida gani, ngoja nitume tena mtu wangu