Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,435
- 52,912
[emoji1787] [emoji1787]Mmh! Unaniigizia tu hapa.
[emoji1787] [emoji1787]Mmh! Unaniigizia tu hapa.
Looo umetenga bila karibu ngoja nifanye yangu, eidd mubaraka mtu wangu wa nguvu
[emoji1649] Hili lipo wapi
Zimefika uncle wake ☺Ah unclee safi sana mpe salamh zangu za eidd[emoji1782]mpo wapi niwatembeze mjini
Rama jamaniii nyie... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji28]Rama km Rama, [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2209716
Ulikuwa wazazi wao kwa muda mfupi, mbona walikoma uliepusha mengi siajabu
Twendeni movie mlimani city tukabahatishe kama kutakua kuna movie nzuriZimefika uncle wake [emoji5]
Tupo tupo tu...unaenda kututembeza wapi? Tuvae nguo za sikukuu??[emoji41]
Sounds good 🤗Twendeni movie mlimani city tukabahatishe kama kutakua kuna movie nzuri
Dah smart sana kumbe ulienda shule kuchota maarifa na sio ujinga, umewachapa na maneno malaini lakini yaliwaingia akilini, exile zikizidi chuoni ni ujinga mnajifanya eti ushikaji hakuna ni kufuga upuzi, isitoshe wanapigana hapo na wewe upo stupidWakati kijana alikuwa ananijibu kwamba oh sister wengine Wana ndoa zao Kwahiyo usitupangie maisha,
Nikamwambia wenye ndoa wapo zao wamepanga mjini..hutawakuta wanahangaika na exile za vitanda vya miatano vya hostel Kwahiyo lazima nikupangie.
Mmmhmh mama nimetamanani vibaya mno, pilau lote limeyeyuka njaa kali nataka nianze upya
@April26Sijapata mwaliko hata mmoja, sawa wana selfika ila mjue tu Christmas haipo mbali tutaonana [emoji23]
Mmmhmh mama nimetamanani vibaya mno, pilau lote limeyeyuka njaa kali nataka nianze upya
Hamna cha out wala nini yaani hata kucheki movie tu aisee na sina gharama natumia soda tu😂@April26
Hata hajigusi kukutoa out[emoji848]
NiahidiHamna cha out wala nini yaani hata kucheki movie tu aisee na sina gharama natumia soda tu[emoji23]
Kasulu kuna ugali kweli? [emoji848]