Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee acha kabisaa, jana jion hiyo iftar ya mwisho, si katuwekea wapangaji wenzie wote, yaan nlibana ndani kimya, kumbe ye anasubir nikitoka anikamate nile iftar yake,

Saa 2 usku natoka nje, kanikamata, wee mie nakuita husikii nagonga mlango kimya tyuuh, nkajifanya aaah nlilala hata sijaskia sorry, si ananipa sahan iliyojaa vyakula mbali bali na chai flan nzito ya maziwa, yaan nlipokea huku najisikia aibu, kuzama ndani sasa acha nipakie hapo nlishiba ndiii,

Leo nkajisemea hapana, acha nisepe zangu, sitaki aibu ndogo ndogo mie. Uwiiiiiiih.
 
Ukirudi utavikuta nakuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20220503_132931.jpg
 
Back
Top Bottom